MA DJ's Tukutane Hapa.... new Softwears

MA DJ's Tukutane Hapa.... new Softwears

Deejayptz

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
64
Reaction score
19
Nauza Softwears hizi zikiwa full version na kufanya kazi kwa kila controller kwa 100% Kwa MAC/WINDOWS pia unaweza kurecord mixing zako MP4 HD 1080(Full HD) pia unapata na skin 3D Kama pioneer,Nurmark,Denon - zikifanya kazi kama ilivyo live Machine unachotakiwa kujua ni keyboard shortcut Kama hauna dj controller ili kuweza kuifurahia zaidi.pia kama una PC Touch unaweza kutumia vizuri sana bila dj controller.
BEI :

VIRTUAL DJ 8.2 B - WINDOWS 50,000/=
SERATO DJ 1.9.10 - MAC 70,000/= UNLOACK ALL CONROLLERS

SERATO DJ 1.9.10 - WINDOWS 50,000/=

DSM: 0764 876 888
deejayptz@gmail.com
deejayptz@sound.com

Copy of Copy of BOGO SALE(1).jpg
20180119_145848.jpg
20180119_151834.jpg
08-integration.png
Explications.jpg
loops_cues.png
 
Haya maswala ya kuuza software bado yapo??
watu wanafail vitu vingi kwa kua wajuaji inawezekana una setup ya softwer hizi lakini haiwezi kufanya kazi kama hizi
ujuaji ujuaji co mzuri.wanaotaka washapata mzigo kama hujui kitu tulia tu kwenye uzi mwingine hun a haja hata ya kucomment maana pengine huna unachojua
 
Mkuu nataka DJ controler nitakayo natumia ndani kwangu, ntapata kwa bei gani?
 
watu wanafail vitu vingi kwa kua wajuaji inawezekana una setup ya softwer hizi lakini haiwezi kufanya kazi kama hizi
ujuaji ujuaji co mzuri.wanaotaka washapata mzigo kama hujui kitu tulia tu kwenye uzi mwingine hun a haja hata ya kucomment maana pengine huna unachojua
We so developer unauzaje??
 
VIRTUAL DJ SETUP + THEMES/SKINS

http:// fileml.com/l/0574J
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom