Mapenzi ni kimbilio la starehe kwa wasio na feza,ila sisi wenye feza chafu tuna option nyingi za starehe siyo lazima mapenzi!Hivi kuna mwenye hela asiye na mpenzi?
Hata uzungukwe na wazuri wote kuna mmoja tu utadondokea kwake.... Na kampani yake utaihitaji zaidi ya wengineValentina acha hizo ukiwa celeb kuna wakumpenda?kama ni mwanaume marafiki zako wanakuwa kina Nicki minaj,Kim kardishian,amberose,j-lo,Beyonce,sasa hao walivyo wazuri si unafall in love mda wowote
Sisi wenye feza chafu huwa hatuna mpenzi mmoja mkuu,kwa mfano mimi nina wapenzi 19 kati yao watano wanatokea JF na hawajuani kwa hiyo akinitenda mmoja haina shida kabisa ni sawa na nzi mmoja afariki kwenye hii dunia![emoji1]Nye wenye hela chafu mkutendwa mnaumia au mnapoachwa mnaumia?