Safi sana Ole Millya mbomoe huyo mropokaji Sendeka hadi abaki na familia yake tuu kwani jimbo hilo ni lako 2015. Chadema kazi ya kuwabomoa magamba iendelea sisi tunawabadilisha kichwa kwa kichwa hana sumu iliyopandikizwa na magamba iondoke kwa watanzania kuwa na utambuzi.