Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
- Thread starter
- #21
uvugu lNaomba kusaidiwa kujua zaidi MC4 ni nini hasa?
maana ni MOVEMENT FOR CHANGE,kwa kiswahili vuguvugu la mabadiliko,based in political issue.
uvugu lNaomba kusaidiwa kujua zaidi MC4 ni nini hasa?
Nimefurahishwa sana ndugu Ukana Shilungo mana wameifanya kusini ndio ngome yao na wametuona wajinga ila kwa sasa wakati wa kuikumbatia NyinyiM umekwisha. VIVAA KUSINIni kweli ndugu Buto ukombozi umefika,ni sisi watu wa kusini tumekuwa tukikumbatia hili joka linaloitwa ccm.