M4C yamchanganya akili Waziri na Mbunge Kassim Majaliwa Mnacho Jimboni Ruangwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C yamchanganya akili Waziri na Mbunge Kassim Majaliwa Mnacho Jimboni Ruangwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ukana Shilungo, Jun 8, 2012.

 1. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Jana tarehe 7 Kassim majaliwa alikuwa Mnacho kijiji alichozaliwa kuwasihi Wanainchi kutopokea M4C,aliandaa ngoma akasema anakuja saa 5 au saa 7 lakini alikuja saa 12 na nusu jioni,wazee maarufu kama Ngango'la na Chinunje walikasirika mno kuchezewa akili na kijana mdogo kwao,kifupi alitoka Dsm kuwashawishi watu wa Ruangwa kutopokea M4c,kifupi kachelewa hakubaliki hata ndani ya nyinyiem jimboni,kashindwa kutimiza ahadi hata kijijini alipozaliwa yaani Mnacho Nandagala,kesho toka saa 8 mchana Slaa Dr atakuwepo,kumwaga elimu ya ukombozi kwa wamwera wenzangu wa Mnacho nilipozaliwa,kifupi watu wana hamu ya kusikia na kujivua gamba.Nitasafiri kesho kwenda kijijini nilipozaliwa na kesho nitawapatia habari kwani watu wa pale hawana access ya net,rumovement for change karibu nyumbani Ruangwa kijiji cha Mnacho Nandagala AKA Arusha.
  Source ni Mjombaangu kiongozi wa Chadema hapo Mnacho anaitwa Son,nawasilisha UKANA SHILUNGO.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  m4c daima
   
 3. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  thanks issue ndo iko hivvyo japo mgamba wasingependa kusikia.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  naona beki ya manyema imepewa kazi ya kukaba lionel mesi ngoja tushuhudie mtanange.
   
 5. B

  Buto JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwemwejo mwee
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huu msako wa M4C haitawabakiza na hata wengine wanaweza wakalazwa na hata wakapoteza maisha yao kwa haraka haraka ninavyoina tu.

  ccm wana wakati mgumu mpaka watapigana vibaya sana wao kwa wao.

  CDM! Twanga kotekote mpaka mafisadi waliopo ICU wazikwe mazima mazima
   
 7. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  mzee wa Ng'au noma ngapagwa bwana Buto,m4c daima
   
 8. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  yaani msako wa nyani ngedere hasalimiki.m4c foever.
   
 9. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  jamaa wana hali ngumuu, Chikawe,membe,majaliwa,kassembe MP wa Masasi ni mweupe mno ni mwepesi,ni maimuna shule hakun a alifeli mtihani wa qualfying test,Pipoooooooooooos............
   
 10. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  ndo hivyo mpango mzima ndugu Ringo Ed.
   
 11. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nne akuno njikola lipamba kung'au,kuchimbila,kunamahema movement jo shijijende?
   
 12. p

  petrol JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  chadema wasimamishe mihadhara yao mara moja ili watu tuelekeze macho na masikio yetu bungeni
   
 13. B

  Buto JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimefurahi kusikia ukombozi umewafikia ndugu zangu wamwera.
   
 14. Roxea

  Roxea Senior Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 182
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Naomba kusaidiwa kujua zaidi MC4 ni nini hasa?
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mawaziri Wana haha ghasia alikuwa anafikiri yeye ni mbunge wa milele huko kusini hamna jimbo ambalo lipo Tanzania CDM itaacha kusimamisha mgombea
   
 16. P

  PAINIA WAKWELI Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha kama na nangaanga,mbekenyera,namichiga,mandawa na nkundi injiri hii ya M4C ikipokelewa tunasubiri nini tena?
   
 17. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hivi una matege ya macho nin?rudi kusoma imeandikwa M4C=movement for changes
   
 18. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  ng'au chimbila joe shijende kunandagala,watafika kumsikia Dr slaa na chadema kiujumla.
   
 19. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  gamba at work.
   
 20. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  ni kweli ndugu Buto ukombozi umefika,ni sisi watu wa kusini tumekuwa tukikumbatia hili joka linaloitwa ccm.
   
Loading...