kwa maelezo yako tu utakuwa unaexpirience ya kutosha ya kutoa hayo mananii yako kwa wanaokutuma hongera sana A bighuyu ni MIONGONI MWA WALE MASALIA
KWA HIYO APUUZWE TUH,,
UKIMPA UBWABWA NA KANGA YEYE HUWA TAYARI KUTOA MA SA YENYE BURI,,
MJINGA NI MJINGA TUH,APUUZWE
Wendawazimu wako unaanzia hapa!!na kuifanya kushinda kwa wepesi kabisa uchaguzi mkuu wa mwaka 2012
kwa maelezo yako tu utakuwa unaexpirience ya kutosha ya kutoa hayo mananii yako kwa wanaokutuma hongera sana a big
Wewe uliyeleta post hii utakuwa katika kundi là masalia ambao mnaelekezwz cha kupost. n'a Nape, akidhani atapunguza kasi ya M4C, lakkini katika hali halisi moto uliowashwa n'a CDM kila uchao ndiyo unazidi kukolea. n'a ndicho kinachofanya nyinyi magamba muweweseke hadi mnakuja n'a post za kipuuzi kama hii uliyoilleta!!!Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza kujitokeza katika mkoa wa Iringa na yanaonekana yatasambaa nchi nzima na kuishia kama zile harakati za CUF.
Baadhi ya wahusika walipoulizwa kwanini mdororo ni mkubwa walijibu kuwa baadhi ya viongozi wa M4C wanakabiliwa na shutuma za ufisadi wa fedha za opresheni hiyo; wengine wanasema hamasa ya wananchi inashuka kutokana na kutomuona majukwaani kiongozi wao kipenzi Zitto Kabwe kwani jana kundi kubwa la vijana walijitokeza na kuimba tunamtaka zitto,zitto.
Kwa hali ilivyosasa kauli mbiu ya mbowe kuwa mwaka 2013 ni mwaka wa nguvu za umma inaanza kupotea;Ilihali CCM ikiendelea kujiimarisha kwa wananchi pamoja na kutekeleza Ilani yake Barabara; na kuifanya kushinda kwa wepesi kabisa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza kujitokeza katika mkoa wa Iringa na yanaonekana yatasambaa nchi nzima na kuishia kama zile harakati za CUF.