Vijijini Lawama
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 298
- 73
M4C ilikuwa ni mradi wa viongozi wa Chadema.
Jaribu kuuliza pesa iliyochangwa kununulia Chopa imekwenda wapi kuna picha tu ya Lema kapiga huko Uingereza.
M4C ulikuwa mwanya wa kukusanya michango kwa manufaa binafsi ya viongozi wa chadema pamoja na kutumia ruzuku kulipana posho. Sasa hivi watu wameshtukia utapeli huo ndio maana M4C imekufa.
Josephine Mushumbusi amelipwa pesa nyingi sana na M4C wakati sio kiongozi wala mwajiriwa wa chadema!
Jaribu kuuliza pesa iliyochangwa kununulia Chopa imekwenda wapi kuna picha tu ya Lema kapiga huko Uingereza.
M4C ilikuwa ni mradi wa viongozi wa Chadema.
Mkuu mpango wa M4C hukujua kwamba 'sadaka' iliyokusanywa imutumika vizuri kumpeleka Dr na mamaa Jesephine majuu kwa ziara ambayo walikuwa wanaiota siku nyingi?Tumaini Makene kama utaona thread hii naomba uniambie ukweli kuhusu M4C, imeishia wapi? Au mmejikuta mnaconcentrate kwenye kujibu propaganda za CCM na kusahau kitu kizuri ambacho mlikianzisha kwa lengo zuri la kutangaza chama na kuinua chama kimapato?
Naomba kama raia mpenda mageuzi zoezi hili liendelee hadi kwenye wilaya ili mambo yanoge vizuri, Kitu kimoja niwakumbushe mnaanzisha vitu halafu mkipigwa na dhoruba kidogo mnasahau sasa sijui mpango kazi wenu umekaa vipi.
Hata mpango wa kufungua misingi sisikii tena kweli mimi nashindwa kuelewa kama 2015 itafika CDM ikiwa imekamilisha mipango yake yote kwa utaratibu huu.
cc Tumaini Makene
Mohamed Mtoi
Michael P. Aweda
Molemo
Mkuu mpango wa M4C hukujua kwamba 'sadaka' iliyokusanywa imutumika vizuri kumpeleka Dr na mamaa Jesephine majuu kwa ziara ambayo walikuwa wanaiota siku nyingi?
Dr alisha piga marufuku mwana CDM ueyote kuendesha M4C bila yeye mweyewe kuwepo kukusanya hiyo 'sadaka'.
Kabla hujatapika kumbuka kuhusu na utukumbushe fedha za richmond,EPA,meremeta,mabillion ya uswizi n.kM4C ulikuwa ni mradi wa viongozi wachache wa CHADEMA. Baada ya kushtukiwa wakaamua waachane na hiyo M4C.
Sasa hivi viongozi wa CHADEMA wameamua kuja na deal la kuanzisha jeshi ili wafanye biashara ya silaha za kivita.
Jitambue. CHADEMA siyo chama cha Siasa ni mradi wa watu wachache.