Umati huu ulihudhuria mkutano wa M4C mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa CDM kwenda kwenye 'majimbo yao'.
umati huu ulihudhuria mkutano wa m4c mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa cdm kwenda kwenye 'majimbo yao'.
twanga kotekote leo kamanda nanyaro alikuwepo mianzini kuendeleza mikutano 17 ya kata za arusha kutuandaa kueleke uchaguzi wa madiwani pamoja na chaguzi za mashina kesho watakua relini
Pinda and ana kilango they deserve to shoot the blame if the situation is that one.
Leo nilikua hapa mianzini makamanda wanatwanga kotekote.jana huko singida wamemzuia kamanda Tundu lisu kwa fid force kuweka road block,yaan M4C inasambaa zaidi ya avian flue.
TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.
Umati huu ulihudhuria mkutano wa M4C mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa CDM kwenda kwenye 'majimbo yao'.
Hilo shazi ni la heche na munishi inatia moyo je unaweza compare na lile la magamba ambao walijaza mawaziri lakini bado hawajawafikia bavicha.Twanga kote kote hakuna kulala makamanda