CCM wamepatwa na mshtuko kwenye hili kwani watu walitangaza kesho tunapandisha chopa na zikapanda kweli, hii ndo maana ya Chama sio mtu,haiwezekani mtu mmoja anajiona hawezi kufukuzwa uanachama eti anawatu wengi,,haiwezekani kabisa,narudia maneno yangu kama kumfukuza Zitto chama kinakufa bora kife kabisa lakini Zitto aondoke,,Nyumba ya ccm kwa sasa inaungua kwa kasi beki hazikabi zinalinda goli wakati wote....