nhobola ye2
Member
- Dec 22, 2013
- 24
- 1
Mh. John Mnyika na kikosi chake watakuwa katka viunga vya mji wa wasukuma Ngudu.
iKada wa CHADEMA aitwaye Kazimi (painter) anatembea na gari la matangazo kuwajulisha wana-nchi wote kinachoendelea.
Update mtazipata kuanzia sasa.update 2 naona makamanda wa red briged wako tayari,watu wanaanza kulejea kwa makundi huku mc kazili (painter) anahabarisha watu juu ya nn knaendelea amakweli kumependeza sana.police na usalama wa ccm nao wanalandalanda'mansul tumbo joto'tutazd kujuzana wadau