M4C katika picha

Tuko pamoja

Yaah ni vyema kuon mabadiliko ya kisiasa kuanzia ngazi za chini kabisa katika muhimili wa taifa ila vyama rafiki vinahitaji miaka mingine 20 ili kujiimarisha na kuanza kutushawishi tena..... Napenda kusema kuwa bado vyama rafiki vina mapungufu mengi ambayo yanahitaji kufanyiwa marekebisho ili watanzania tusijekujuta hapo baadae....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…