M4C forever.........Liwalo na Liwe

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,741


M4C kwa CCM ni jinamizi............wakiliona wanajisikia vibaya. Sana tutatengeneza vitu kama boxer, sidiria, tight, khanga na vingine vingi hadi opener ili hata ukienda Bar unakutana na M4C..........
 
M4C kwa CCM ni jinamizi............wakiliona wanajisikia vibaya. Sana tutatengeneza vitu kama boxer, sidiria, tight na vingine vingi hadi opener ili hata ukienda Bar unakutana na M4C..........

Kamweleze Nape matatizo yako maana CCM ndo mna mawazo finyu mpaka mlitengeneza opener.
 
Kama habari yako ni ya kweli weka number za mawasiliano,pia useme mnapatikana wapi lakini pia weka picha ya products zote mnazotengeneza itakuwa vyema sana.
 
Kama habari yako ni ya kweli weka number za mawasiliano,pia useme mnapatikana wapi lakini pia weka picha ya products zote mnazotengeneza itakuwa vyema sana.

Kama uko bukoba na ku pm T - shirt zipo na tunachangia chama kuiwezesha M4C kusonga mbele.
 
Unavyosema liwalo na liwe unamaanisha hata wakiku IFM utabaki unashangilia m4c
 


M4C kwa CCM ni jinamizi............wakiliona wanajisikia vibaya. Sana tutatengeneza vitu kama boxer, sidiria, tight, khanga na vingine vingi hadi opener ili hata ukienda Bar unakutana na M4C..........

Kwa hakika tunahitaji promo materials itasaidia sana. Elimu kupitia mikutano kwa sana!! Forever, CDM!!
 
toeni na stica za kubandika kwenye meno hata ukitabasam wanaona m4c nini t shirt bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…