M4C chini ya kamanda Mawazo yaibomoa tena CCM Kwimba

M4C chini ya kamanda Mawazo yaibomoa tena CCM Kwimba

maguzu masese

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
283
Reaction score
139
Wanachama

zaidi ya elf moja na viongozi saba wa ccm kutoka kata za Ngwamashimba,Nyamilama wamehamia chadema ndani ya siku nne za operation inayopigwa vijiji vinne hadi vitano kila siku kwa siku kumi na tano.

Janga kubwa lilitokea jana baada ya mzee maarufu bwana Kwiyuka wa Mwanega ambaye ni mwenyekiti wa kijiji na wafuasi wake wa vitongoji kutupa kadi na bendera za ccm hadharani.

Kiongozi mwingine ambaye ni Charles Edward mjumbe wa serikali ya kijiji Hungumalwa C alitema cheche baada ya kujiuzulu nafasi zake zote ikiwemo ya uenyekiti wa mipango na fedha,leo ni kata ya llula.
 
Kwanza sahihisha hapo hakuna kata wala kijiji wilaya ya kwimba kinachoitwa Ngwamashimba!,ila kuna kata na Tarafa inayoitwa Mwamashimba,kumbuka hivi ni vitu muhimu sana ambavyo ukividharau vinaweza kuifanya post yako ikose mashiko.

Pili ungejaribu kuwataja baadhi tu ya viongozi wa ccm wa kata waliohama ingependeza zaidi na kuifanya post yako iwe na mvuto zaidi.
lakininyote kwa yote kama ni kweli basi itakuwa ni mwanzo mzuri kwa chadema sasa kuanza kubaini ninwapi huwa wanafanya makosa wakati wauchguzi.
 
Shuka kwa shuka kitanda kwa kitanda.
Lengo ni kushika hatamu za uongozi na kuijenga upya Tanzania iliyoliwa na Mafisadi na Wauza Unga.
 
Utamuuza sana huyo mawazo wako lakini ni zigo la nyanya mbovu yule
 
Shuka kwa shuka kitanda kwa kitanda.
Lengo ni kushika hatamu za uongozi na kuijenga upya Tanzania iliyoliwa na Mafisadi na Wauza Unga.

Kama ni hivyo si hata hizi ndoa zao za sasa zitavunjika nazo?!
 
Kwanza sahihisha hapo hakuna kata wala kijiji wilaya ya kwimba kinachoitwa Ngwamashimba!,ila kuna kata na Tarafa inayoitwa Mwamashimba,kumbuka hivi ni vitu muhimu sana ambavyo ukividharau vinaweza kuifanya post yako ikose mashiko.

Pili ungejaribu kuwataja baadhi tu ya viongozi wa ccm wa kata waliohama ingependeza zaidi na kuifanya post yako iwe na mvuto zaidi.
lakininyote kwa yote kama ni kweli basi itakuwa ni mwanzo mzuri kwa chadema sasa kuanza kubaini ninwapi huwa wanafanya makosa wakati wauchguzi.

Wanachama

zaidi ya elf moja na viongozi saba wa ccm kutoka kata za
Ngwamashimba,Nyamilama wamehamia chadema ndani ya siku nne za operation
inayopigwa vijiji vinne hadi vitano kila siku kwa siku kumi na
tano.Janga kubwa lilitokea jana baada ya mzee maarufu bwana Kwiyuka wa
Mwanega ambaye ni mwenyekiti wa kijiji na wafuasi wake wa vitongoji

kutupa kadi na bendera za ccm hadharani.Kiongozi mwingine ambaye ni Charles Edward mjumbe wa serikali ya kijiji Hungumalwa C alitema cheche baada ya kujiuzulu nafasi zake zote ikiwemo ya uenyekiti wa mipango na fedha,leo ni kata ya llula
............................
 
Mawazo ni jembe....huko bungeni nako utatusaidia sana, fanya huko kwanza uliko ujijenge then bungeni nako ukienda kieleweke, hoja na uwezo unao, piga mwendo kijana mtoto wa mcungaji...
 
Utamuuza sana huyo mawazo wako lakini ni zigo la nyanya mbovu yule

Pole sana MwanaGamba, kama ni zigo la nyanya mbovu Mbona mmeshindwa kupata nyanya mbivu kuchukua nafasi yake Sombetini. Inawauma sana kumwona kijana anazidi kuwaharibu kila kona anakopita. Kaza buti Kamanda Mawazo, ukimaliza Kwimba shuka na Missungwi tuwamalize kote waliko hawa Magamba. Bukumbi, Usagara na Fela jiandaeni majembe ya M4C yanakuja
 
big up kamanda acha wauza unga waendelee na porojo zao na baloz wa china.sie kazi tu kazi tu.
 
Mawazo ni jembe la ukweli, alipokuwa magambani hakuwa na nafasi ya kuusema ukweli, ni sawa na sangara akifugiwa mtungini hawezi kuwa mkubwa kuuzidi, sasa sangara mawazo yuko ziwani yuko huru kwenda kokote na kuwaeleza wananchi ukweli, piga kazi kamanda mpk wataisoma namba magamba!
 
Moyoni unalikubali kwa kazi,hatutaki urembo wa wapaka poda kama Nape na wauza meno ya tembo,ni kazi tu ,kazi kazi kazi.

alafu umenkumbusha! hivi nape huwa anapaka nn mdomoni? maana domo jeusi kama pua ya mbwa. ananchefua, siku hizi anastaili yake ya kuongea kama anabwata jukwaani, atapasuka domo.
 
............................

Nashukuru kuna marekebisho yamewekwa,jana wakati nachangia hakukuwa na jina hata moja la mtu,hii imekaa njema lakini ningefurahi kama mtoa mada angelinishukuru kwa kumkumbusha hilo then akafanya marekebisho angalia nilikuwa mtu wa ngapi kuchangia post hii,lakini yote kwa yote tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom