Bukutonaga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 246
- 46
Aisee Hongera sana kwa ujasiri wako na kujitolea kwa moyo! uwe mfano wa kuigwa kabisa!!! peoplessssssssssssssPowerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!
Mkuu, badugu utafika? Safi sana.
[/QUOTE]Hapo kwenye RED haijakaa vizuri.
Stori imetulia isipokua hapo.
QUOTE=Bukutonaga;4298874]Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.
Nawasilisha!
safi kamanda,hakikisha unaweka ligi pia ya wadada maana hawa bado wako nyuma kidogo ili waitambue CDMKwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.
Nawasilisha!
Hamna jipya ni yale kwa yale.
Hamna jipya ni yale kwa yale.