M-pesa,tigo na airtel

Haha ikawaje
Nikamuomba sana akanambia subir nimalize kazi zangu jamaa umo umo nisteshenary nasiku hiyo alikua anakazi yakuchapa mamuhtasari cjui yavikoba muda huo ilikua sa7 kasoro mchana Asee nilikaa ad sa 10 ndo akapiga simu mtandaoni na ilikua akiwa amesubirishwa akija mteja simu anakata akiondoka mteja ndo anapiga tena upya yn ad sa 11 jion ndo simu inapokelewa akaambiwa pesa itarejeshwa baada ya masaa 24 yakazi cku iyo ilikua j2 mimi nilirud tena dukan kwake j4 nikakuta kumbe pesa ilirudishwa cku ile ile,
sema jamaa alinipongeza kwa uvumilivu niliouonyesha mana ilinibid tu niwe mpole nisimfos kwa chochote bas ad leo amekua jamaa yng sana miamala yng karibu yote nafanya offcn kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…