ABIBU CHENGULA
Senior Member
- Oct 15, 2017
- 162
- 102
Hoja yako ni nzuri ila hujaipangilia vizuri heb ichek tena then iweke sawa...Toeni elimu kwa Wateja juu ya utumaji wa pesa kwa ndg zao Wateja wengi huenda kwa Wakala na kukabidhi pesa na namba anakotuma,mawakala munawapa elimu ya asitume direct pesa endapo Wakala atatuma direct pesa kuna kiasi cha pesa atakatwa sehemu ya kamisheni yake kwa mwezi kulingana na fungu la pesa iliyotumwa direct,hivo toeni elimu pande zote mteja aelewe au lusuni kutuma pesa direct akatwe mteja mwenyewe na mie nilipwe bila kukatwa. MITANDAO NAWASILISHA
Wapo mawakala hawatumi kabisa kwene namba ambayo simu yake hunayo hapo mlipo sivyo atakuambia leta pesa yakutumiaKama wakala unajua unapigwa fain alafu unaendeleza mchezo ulele si ni upoyoyo huo!
Musimamo huo ni mzuri lakini mteja akiona kuna mwingine anatuma direct anakuhama na kuhamia kuleWapo mawakala hawatumi kabisa kwene namba ambayo simu yake hunayo hapo mlipo sivyo atakuambia leta pesa yakutumia
Wengi wameelewa lakiniHoja yako ni nzuri ila hujaipangilia vizuri heb ichek tena then iweke sawa...
Mawakala wanaelewa kabisa, na hata commission huwa wanakatwa ikijulikana wametuma directToeni elimu kwa Wateja juu ya utumaji wa pesa kwa ndg zao Wateja wengi huenda kwa Wakala na kukabidhi pesa na namba anakotuma,mawakala munawapa elimu ya asitume direct pesa endapo Wakala atatuma direct pesa kuna kiasi cha pesa atakatwa sehemu ya kamisheni yake kwa mwezi kulingana na fungu la pesa iliyotumwa direct,hivo toeni elimu pande zote mteja aelewe au lusuni kutuma pesa direct akatwe mteja mwenyewe na mie nilipwe bila kukatwa. MITANDAO NAWASILISHA
Watu wabishi, halafu hii njia ni risky sana ikitokea umekutana na wakala asiye mwaminifuMusimamo huo ni mzuri lakini mteja akiona kuna mwingine anatuma direct anakuhama na kuhamia kule
Hata mimi hua nahama nanikikuta wakala anaehoji hoji simu ipo wapi naondoka tena namuona anamaringoMusimamo huo ni mzuri lakini mteja akiona kuna mwingine anatuma direct anakuhama na kuhamia kule
Sasa wanajuaje..mana kuna wanaosema kama hiyo namba ipo nje yamkoa uliopo ndio shidaMawakala wanaelewa kabisa, na hata commission huwa wanakatwa ikijulikana wametuma direct
Wanajuaje location ya mteja?Sasa wanajuaje..mana kuna wanaosema kama hiyo namba ipo nje yamkoa uliopo ndio shida
Nishakutana wakala mmoja iv ni sister tu ila anaonekana anakautata bas nikamkabiz pesa nikamuandikia namba akaniuliza namba hii simu yake unayo hapo nikamjibu ndio then nikawa naendelea namishe zangu apo apo nje yaduka lake bas yy akanishtukia kua simu yenye ile namba siponayo pale alichofanya akaweka robo 3 ya ile pesa thn akatulia nakuja kuchek pesa nakuta haijaingia yote nikamuuliza mbona pesa haijatimia ndo akatuma iliyobaki nilimmaind nanikamhama ad leoWatu wabishi, halafu hii njia ni risky sana ikitokea umekutana na wakala asiye mwaminifu
Sasa iwe umetuma kwa mtu mwingine halafu nae asikupe ushirikiano jasho si lingekutokaNishakutana wakala mmoja iv ni sister tu ila anaonekana anakautata bas nikamkabiz pesa nikamuandikia namba akaniuliza namba hii simu yake unayo hapo nikamjibu ndio then nikawa naendelea namishe zangu apo apo nje yaduka lake bas yy akanishtukia kua simu yenye ile namba siponayo pale alichofanya akaweka robo 3 ya ile pesa thn akatulia nakuja kuchek pesa nakuta haijaingia yote nikamuuliza mbona pesa haijatimia ndo akatuma iliyobaki nilimmaind nanikamhama ad leo
Hahaa hiyo nayo nimeshakutana nayo ..kuna m2 wangu wakaribu ana namba mbili za mtandao mmoja bas minikatuma moja kwa moja toka kwa wakala kwenda kwene namba yake, nakuja kumpigia kama pesa ameipata anasema hajaipata nakama nime2ma kwene namba inayoishia 09 bas namba hiyo haipo hewan imepotea na siwez kuirenew mana nilisajili kwa kitambulisho cha m2 mwingine duh nikamuambia wakala japo apige simu muamala usitishwe ebhana akakataa kabisa izo story akasema matapeli miwengi sana mimi sina msaada zaid muambie uyo m2 wako akairenew iyo lain duh jasho lilinitokaSasa iwe umetuma kwa mtu mwingine halafu nae asikupe ushirikiano jasho si lingekutoka
mh, acheni uongo! ni mtandao gani wanakata commissions ukituma direct?Mawakala wanaelewa kabisa, na hata commission huwa wanakatwa ikijulikana wametuma direct
Hahaa hiyo nayo nimeshakutana nayo ..kuna m2 wangu wakaribu ana namba mbili za mtandao mmoja bas minikatuma moja kwa moja toka kwa wakala kwenda kwene namba yake, nakuja kumpigia kama pesa ameipata anasema hajaipata nakama nime2ma kwene namba inayoishia 09 bas namba hiyo haipo hewan imepotea na siwez kuirenew mana nilisajili kwa kitambulisho cha m2 mwingine duh nikamuambia wakala japo apige simu muamala usitishwe ebhana akakataa kabisa izo story akasema matapeli miwengi sana mimi sina msaada zaid muambie uyo m2 wako akairenew iyo lain duh jasho lilinitoka
M-pesamh, acheni uongo! ni mtandao gani wanakata commissions ukituma direct?
huwa hawakati, ila wanatoa mkwara kuwa hawakulipi commission kwa direct depositM-pesa