shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,192
- 2,119
Kwani kuna Mpesa ya tigo???😃😃😃GTs,
Tahadhari, leo Mpesa ya voda haitumi wala kupokea hela ila salio wanakata. CRDB nazo hazifanyi kazi. Natoa angalizo tuwe na akiba ya cash muda wote! Tuendako hakueleweki
Kuna M Pesa ya Safaricom mkuu. Ubishi mwingine ni kulimbikiza ujinga sometimes.Kwani kuna Mpesa ya tigo???😃😃😃
Una haja ya kiasi gani nikuletee binti?
Tanzania mpesa ya safaricom??Kuna M Pesa ya Safaricom mkuu. Ubishi mwingine ni kulimbikiza ujinga sometimes.
Ova
Ya Kaisari hayo.GTs,
Tahadhari, leo Mpesa haitumi wala kupokea hela ila salio wanakata. CRDB nazo hazifanyi kazi. Natoa angalizo tuwe na akiba ya cash muda wote! Tuendako hakueleweki
Kiuhalisia mpesa ni brand name ya safaricom, hata hao voda waliiga kutoka Kenya,Kuna M Pesa ya Safaricom mkuu. Ubishi mwingine ni kulimbikiza ujinga sometimes.
Ova
Hata hilo jina la M Pesa, ni kifupi cha Mombasa Pesa, ambako ndiko hiyo huduma ilianzia.Kiuhalisia mpesa ni brand name ya safaricom, hata hao voda waliiga kutoka Kenya,
Kenya ndio ilikuwa nchi ya kwanza duniani kufanya mobile money transaction, mwaka 2007
M sio "mobile"?Hata hilo jina la M Pesa, ni kifupi cha Mombasa Pesa, ambako ndiko hiyo huduma ilianzia.
Ova
Sio M-Pesa tu.GTs,
Tahadhari, leo Mpesa haitumi wala kupokea hela ila salio wanakata. CRDB nazo hazifanyi kazi.
Natoa angalizo tuwe na akiba ya cash muda wote! Tuendako hakueleweki