Naomba unipe maelekezo mkuuInategemea mkuu
Mpesa masters card ipo vizuri kwenye kufanya malipo alibaba, mi huwa naitumia kufanya malipo ni kitu cha dakika tano unakuwa umemaliza kazi.Nimejifunza kwamba M-Pesa Mastercard inazngua Alibaba nimejaribu inagoma tu
Ngoja nikatafute tu Equity Card yangu
Update:Nimerudi equity aisee jamaa wapo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]yaani nimekata kadi hapo hapo na kufanya miamala hapo hapo najuta week zangu 3 nilizopotewa na mpesa MasterCard nimekoma na sitorudia utopolo ule tena....
Mpesa masters card ipo vizuri kwenye kufanya malipo alibaba, mi huwa naitumia kufanya malipo ni kitu cha dakika tano unakuwa umemaliza kazi.
jaribu kuwasiliana na voda kujua kama line yako haina shida yoyote. ila mpesa master card inafanya malipo kwa haraka sana
Msaada nataka kununua kitu through Aliexpress yeyote mwenye kujua zaidi msaada pls
Muelekeze hapa hapa watu waelimike kwa wingi mkurugenzi.Njoo PM
Mdau shule ipo ktk bichwa lako ?Hilo ndo jibu..
Sina shule kichwani ila nina zaidi ya shule kwamaana hata shule ilitoka kichwaniMdau shule ipo ktk bichwa lako ?