NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
Hongereni kutupa taarifa fupi fupi na za uhakika.Mnanichafua kitu kimoja tu na pamoja na kuwapenda.Mnakoseaga sana misamiati au spellings za Kiswahili hadi mtu anakuwa na mashaka habari hii ni ya kweli au wongo.Jirekebisheni kwa kufanya uhariri kabla ya kurusha.Mungu awabariki