M-Bet mnachokifanya sio uungwana

M-Bet mnachokifanya sio uungwana

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,857
Wakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka.

Kuna kampuni nyingi za kubet ila M-Bet ni pasua kichwa.

Kuna mkeka nimeshinda kihalali kabisa, ila system yao inasema sijashinda.

Nimewasiliana nao kwa e-mail, wakanipa namba za simu niwatafute... Nimepiga hizo namba kwa zaidi ya masaa 12 hazipokelewi.

M-Bet mnachotakiwa kujua, kubet ni zaidi ya kubahatisha... watu tunatenga muda kufanya analysis za current form, head to head, current injury, league position, new signing, betting tips, etc. Tunapo bet tunatoa pesa zetu bila shuruti, nanyi tukishinda sharti mtoe mzigo bila shurti.

Mi kwakweli mtanipa tu changu, kama sio wizara ya michezo, basi tutakutana mahakamani.

=Mpare wa Milimani.
 
Hahahahah. Wazee wenzangu wa kuweka mkeka njooni tumuungu mkono mpale.
 
Mwone Abas Tarimba mkurugenzi wa bahati nasibu Tanzania
 
Pole sana mkuu..ulipga mzgo kias gani ?tuambie kwanza huenda tukakusaidia kuunda tume.
 
Wakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka.

Kuna kampuni nyingi za kubet ila M-Bet ni pasua kichwa.

Kuna mkeka nimeshinda kihalali kabisa, ila system yao inasema sijashinda.

Nimewasiliana nao kwa e-mail, wakanipa namba za simu niwatafute... Nimepiga hizo namba kwa zaidi ya masaa 12 hazipokelewi.

M-Bet mnachotakiwa kujua, kubet ni zaidi ya kubahatisha... watu tunatenga muda kufanya analysis za current form, head to head, current injury, league position, new signing, betting tips, etc. Tunapo bet tunatoa pesa zetu bila shuruti, nanyi tukishinda sharti mtoe mzigo bila shurti.

Mi kwakweli mtanipa tu changu, kama sio wizara ya michezo, basi tutakutana mahakamani.

=Mpare wa Milimani.
Weka mkeka hapa jukwaani
 
Kuna siku nilishinda kila nikiangalia hawatoi hata matokeo na hakuna details zozote nikasubiri baada ya SAA mbili wakaleta mzigo, so Mkuu kama umebet Leo subiri kesho saa tatu mpaka saa nne asubuhi hivi watakupa hela yako.
 
Hemb chek vzru huo mkeka zile system ni ngumu sana kukosea
 
Watakuambia timu ilishinda baada ya dk90 za kawaida (yaani +30 Minutes au penati)
Hivyo wewe umekuta tu timu imeshinda ila hukujua ilishindaje....
 
Wakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka.

Kuna kampuni nyingi za kubet ila M-Bet ni pasua kichwa.

Kuna mkeka nimeshinda kihalali kabisa, ila system yao inasema sijashinda.

Nimewasiliana nao kwa e-mail, wakanipa namba za simu niwatafute... Nimepiga hizo namba kwa zaidi ya masaa 12 hazipokelewi.

M-Bet mnachotakiwa kujua, kubet ni zaidi ya kubahatisha... watu tunatenga muda kufanya analysis za current form, head to head, current injury, league position, new signing, betting tips, etc. Tunapo bet tunatoa pesa zetu bila shuruti, nanyi tukishinda sharti mtoe mzigo bila shurti.

Mi kwakweli mtanipa tu changu, kama sio wizara ya michezo, basi tutakutana mahakamani.

=Mpare wa Milimani.
Hehehehe poke mkuu ila ahsante kwa kunpa formula hizi
analysis za current form, head to
head, current injury, league position, new
signing, betting tips, etc.
 
Acha kutingisha hali za wenzio, kwanza nina kesi nawewe maana huu undugu kadiri siku zinavyozidi kwenda unazidi kufifia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] usinifanyie hivyo Dada...wew hata uniPM??
 
Mm ni muhanga wa mbet elfu 20, 50 mpaka laki laki mara nyingi wanatuma nimeshinda mara kadhaa mil kumi na ushee holaa mpka leo na sichezi tena bahati nasibu yoyote
 
Wakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka.

Kuna kampuni nyingi za kubet ila M-Bet ni pasua kichwa.

Kuna mkeka nimeshinda kihalali kabisa, ila system yao inasema sijashinda.

Nimewasiliana nao kwa e-mail, wakanipa namba za simu niwatafute... Nimepiga hizo namba kwa zaidi ya masaa 12 hazipokelewi.

M-Bet mnachotakiwa kujua, kubet ni zaidi ya kubahatisha... watu tunatenga muda kufanya analysis za current form, head to head, current injury, league position, new signing, betting tips, etc. Tunapo bet tunatoa pesa zetu bila shuruti, nanyi tukishinda sharti mtoe mzigo bila shurti.

Mi kwakweli mtanipa tu changu, kama sio wizara ya michezo, basi tutakutana mahakamani.

=Mpare wa Milimani.
Pole sana ndugu yangu
Mpare wa tambarare
 
Back
Top Bottom