Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,882
- 6,392
Kuchukua nini Hapo airport..cargo ganiWaasi wa M-23 wamezingira takriban Mji wote wa Goma.
Rais wa kigeni wanashauriwa kuondoka.
Governor wa Kijeshi wa North Kivu ameuawa jana kuhusiana na haya mapigano.
M+23 wanawaamboa wanajeshi wa SADC na MONUSCO kwamba huu ugomvi hauwahusu.
Mr. Gutterres is asking both sides to show restraint.
So what is happening here. Lands Donald Trump alipochaguliwa,this dormant war will come to life.
What is happening?
I wish I knew more about military strategy.
M-23 wakishambulia will SAMIDRC defend the citizens or will itake a strategic withdrawal?
It is unthinkable kwa M- 23 kuiteka Goma.
Nilikuwepo kule Goma 2000 na niliona ndege za cargo zilivyokuwa zinatua airport kila baada ya dakika tano.
Au siyo mtusi, Ili wabaki congo pekee yao wabondweJW waondoke huko, hilo jeshi la Congo ni la hovyo sana linauza position za Askari wetu kwa M23 halafu wao wanakuwa wa kwanza kukimbia mapigano.
Hivi mbona mkisikia Mtusi na Muisraeli mnakuwa na chuki?Au siyo mtusi, Ili wabaki congo pekee yao wabondwe
Ukisikia Africa ni Bure ndo hii hili bara na nchi zake ni la kuonea huruma aiseeHao Wanajeshi wa Kimataifa kama hawaruhusiwi kupigana wako huko kufanya nini
Mkuu, mie niliongelea jambo hilo katika uchambuzi wangu hapa: Uchambuzi: Mambo ya msingi kabisa ya kuyatambua kuhusu mgogoro wa wapiganaji wa M23 na Congo DRC na mapendekezo ya nini kifanyikeWaasi wa M-23 wamezingira takriban Mji wote wa Goma.
Rais wa kigeni wanashauriwa kuondoka.
Governor wa Kijeshi wa North Kivu ameuawa jana kuhusiana na haya mapigano.
M+23 wanawaamboa wanajeshi wa SADC na MONUSCO kwamba huu ugomvi hauwahusu.
Mr. Gutterres is asking both sides to show restraint.
So what is happening here. Lands Donald Trump alipochaguliwa,this dormant war will come to life.
What is happening?
I wish I knew more about military strategy.
M-23 wakishambulia will SAMIDRC defend the citizens or will itake a strategic withdrawal?
It is unthinkable kwa M- 23 kuiteka Goma.
Nilikuwepo kule Goma 2000 na niliona ndege za cargo zilivyokuwa zinatua airport kila baada ya dakika tano.
Ogopa mtusi kagame ni zaidi ya shetani. Shangaa maendeleo ya Rwanda yanatokana na nini? Vita ya DrcKagame anatumika na Mabeberu kuchafua hali ya hewa CONGO
Drc ni wazembe periodPray for DRC, raia wanateseka sana, mali zao zimewaponza
Mimi nina ndugu warudi, mtusi alioa kwetu,hakuna chuki yoyote kwa watusi toka kwangu,halafu kwa nini umeingiza israel hapo?Hivi mbona mkisikia Mtusi na Muisraeli mnakuwa na chuki?
Wewe huwa unachuki sana na Waisraeli pia kwenye posting zako huko International forumMimi nina ndugu warudi, mtusi alioa kwetu,hakuna chuki yoyote kwa watusi toka kwangu,halafu kwa nini umeingiza israel hapo?
Kwa anachofanya muisrael kwa watoto na wanawake na wapalestina kwa ujumla kitakufanya uwapende waisrael!?..wayahudi hata wa marekani wamepinga uzayuni wa netanyahu wakisema 'zionism is not Judaism'..wewe unawapenda wauaji wa kimbari wa 1994!?Wewe huwa unachuki sana na Waisraeli pia kwenye posting zako huko International forum
Muisraeli anafanya FAFO.Kwa anachofanya muisrael kwa watoto na wanawake na wapalestina kwa ujumla kitakufanya uwapende waisrael!?..wayahudi hata wa marekani wamepinga uzayuni wa netanyahu wakisema 'zionism is not Judaism'..wewe unawapenda wauaji wa kimbari wa 1994!?