Lyatonga Mrema aliuamini sana Mkutano Mkuu kuliko Halmashauri Kuu

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Yanayoendelea CCM yalifanywa na Ndugu Lyatonga Mrema matokeo yake tuliipata TLP.

Hatari ya kukimbilia kwenye mkutano mkuu kwenye agenda kubwa na za msingi ni kugawa Chama

Je CCM wanaweza kuwa KANU?
 
Ni hatari na nusu! Mkutano mkuu wowote unafanya kazi kwa style ya computer: Garbage In, Garbage Out!
 
Back
Top Bottom