Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

Nasikia polisi ipo nyingine baada ya hii kuonekana ina mapungufu
Hapo na mm ndipo niliposhituka aisee. Inamana walirekodi mara mbili kipande hicho hicho au recorders walikuwa wengi?? sasa kwann zitofautiane contents kama ilivyoelezwa????J3 jamaa ataachwa huru maana wanajua wakienda mbele watu wazima wataumbuka.
 
kama katumia kwenye internet cafe atapatikana kweli?

Kwa nini internet cafe ina-connect internet kupitia sayari ya Pluto?

Cyber criminals wrongly think that using an internet café would pretty much dust off their fingerprints.
 
Hakuna chama nachoweza kukuta bila kufanya umafia kwa maadui au watu hatari kwake kumbuka Kolimba nk ajabu nini hadi hii ionekane ni ajabu? Someni historia mtaona mifano mingi sana, hata hivyo hili nalo litawarudia magamba Kama like la kadi ya Slaa mmechemka mmetuma mambumbu wafanye kazi nyeti.
 
kila kitu kimenunuliwa kwa ajili ya kazi hiyo tuu mkuu, si unajua kunapesa zimewekwa kwa ajili ya propaganda, kwahiyo watu wanakuwa very smart mkuu!

haiwezekani ukweli ni kuwa tukishajua internet cafe tutatembela komputer zote na kuchukua finger print zote, tuki eka kwenye data base ya finger print tutapaat tu sample space.
hahaha
kifupi huezi kwepa kama kweli wakiamua ila ndio hivyo.
 
kwa hiyo mnataka kukataa kwamba yule sio lwakatare kwenye ile video au?maana hamueleweki naona toka juzi mnatapa tapa tu,hebu acheni sheria ichukue mkondo wake acheni kuweweseka,sheria ni msumeno haijali cha upinzani wala nini

Ungekuwa polisi unachunguza hii kesi, what would have been your lines of inquiries?

Yaani ungeichomoa tuu ile video YuouTube na kumpelekea kwa DPP kama ushahidi tosha wa kumtia hatiani mtuhumiwa?

Unadhani kweli ile video na yale maandishi machache pekee yanaweza kumtia hatiani mtuhumiwa?

Kuna ubaya wowote kama polisi wakitaka kuzungumza na aliye-upload ile video YouTube ili kuisadia polisi kwenye uchunguzi wao?

Mimi bado sijawelewa inakuwaje mtu ana video ya mtuhumiwa akipanga kufanya a deadly crime badala ya kupeleka sehemu husika anaishia kuiweka YouTube.

Labda ni udhibitisho kuwa hata huyo aliyeiweka hiyo video Youtube amekosa matumaini kabisa na vyombo vyetu vya ulinzi usalama?

Kwamba kutokana na kutokuwa na matumaini na polisi basi siku ukiona mwizi ananyemelea kuiba kwa jirani ni bora kumchukua video na kuiweka YouTube kuliko kumripoti sehemu husika.

By the way, na huyu alishakamatwa?

[video=youtube_share;T5-f1Ga_Hu0]http://youtu.be/T5-f1Ga_Hu0[/video]
 
Mimi kwanza siajona mantiki ya kumtafuta au kumkamata aliyeweka clip ya Lwakatare wakati yeye mwenyewe anahojiwa na kweli clip na picha ni yake
Sioni km kuna kosa kwa mimi kuipata clip ya hatari au mapenzi na kuiweka katika Mtandao ni kwani nini msiwakamate walioonekana
kuna thread nyingine humuhumu
JF inaonesha wameshapatikana
sasa mimi kwenye YOUTUBE KUWAWEKEA NINA MAKOSA GANI?
Nimekuwa nje ya suala hili. Hivi Lwakatare mwenyewe ameshaikana hiyo video au kuitolea maelezo kiasi cha kusababisha huu mjadala wa kwamba ni ya kughushi au sio kupamba moto?




Kwa hio inaonekana jina lake lilitajwa kimakosa kwenye ile recording ya Lwakatare? na kama lilitajwa kwa makusudi inawezekana Lwakatare kamtaja au?
 
Hivi Mwigulu na Nape wanafahamu kuhusu metadata. Safari hii wataumbuka sana!
 
Nadhani badala ya kuongea sana, wataalam wa metadata humu jamvini wafanye kazi tujue ukweli. Maana kusema tu kuna njia hizo huku hatutaki kuzitumia haitasaidia chochote.
 
kwa hiyo mnataka kukataa kwamba yule sio lwakatare kwenye ile video au?maana hamueleweki naona toka juzi mnatapa tapa tu,hebu acheni sheria ichukue mkondo wake acheni kuweweseka,sheria ni msumeno haijali cha upinzani wala nini

Kuna sheria gani ktk nchi hii? mbona unaonyesha ukomo wa upeo wa uelewa wa vitu rahisi?.Ni sheria gani hiyo unayotaka kutuaminisha itachukua mkondo wake? sababu hakuna utawala wa sheria na uwajibikaji kwa kuzingatia epa, richmond, rada, jairo,mabillion ya uswis, meremeta,nk. nafikiri labda umekosea pengine hukumanisha mkondo labda tueleze. kama hatukubali ukweli na kuwa wa kweli basi hatutapata maendeleo ya kweli. wacha bla bla
 

Una uhakika na unachokisema? unasave video file (.flv) then unaimport kwenye FCP, kweli?
 
Halafu tunalalamika Tz hatuna wasomi, welldone ukweli utafahamika coz naona kama tukio la Lwakatare linataka kuunganishwa na la Kibanda
 
kwa hiyo mnataka kukataa kwamba yule sio lwakatare kwenye ile video au?maana hamueleweki naona toka juzi mnatapa tapa tu,hebu acheni sheria ichukue mkondo wake acheni kuweweseka,sheria ni msumeno haijali cha upinzani wala nini

Tumia akili na sio kamas katka kufikri unadhani huo mchezo wa a e i o u,tatzo hapa sio picha ni ya nani hapa waelewa wanatafta kinachotamkwa na sio hivyo tu kwani walivyo tengeneza video ya bush kashikishwa ukuta na osama kwa akili zako ndogo ilikuwa kweli?
 

the uploaded file misses the metadata this makes the reality of the video to be in jeopardy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…