Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret



Which police authority are talking about? The police force that killed Mwangosi? The police force that has failed to tell us about the torture of Dr. Ulimboka? The police authority we have in Tanzania seems to be working under the pressure of the authority itself not for the public. They will not adquately probe into anything against their bosses, they are there to make sure that whatever is presented is in favour of the bosses.

After all Mwigulu has already declared that he has had a video clip about such scene why not use him to make things clear to the public? We have a similar clip in the You Tube which was claimed to be staged by one of the Sheikhs in Mwanza but we are yet to hear anything about police arrest in connection to the film. What is the secret behind that scene? Why the police force rash to this one of Lwakatare not of that Sheikh which has been in our blogs several Months ago? Answers to these questions might be hard to get but they are suggestive of double standards by police forces while executing their duties.

I am of the opinion that independent experts be used to investigate the clip and tell us whether it is genuine or fake one. Anybody who is knowledgeable in ICT should volunteer to subject the clip under the said program and clarify the matter to us. Since the source of the clip is YOU TUBE, there will be no problem if the results will be communicated to us through the same route
 
mkuu kwani niki upload na kuvunja kila kitu nilichotumia, naharibu everything ikiwepo na kubadili location ya nilipokuwepo bado kunauwezekano wakunikamata!??

Labda utumie internet c@fe kila kitu
 
Mwisho wa siku itakuwa aibu kubwa kwa wapangaji wa hizi njama. Watu smart wangetumia wataalamu wa teknolojia kuliko hawa wachumia tumbo kina Nchemba.
nchemba namsuspect kuhusika kwa namna moja ama nyingine
 
kwa hiyo mnataka kukataa kwamba yule sio lwakatare kwenye ile video au?maana hamueleweki naona toka juzi mnatapa tapa tu,hebu acheni sheria ichukue mkondo wake acheni kuweweseka,sheria ni msumeno haijali cha upinzani wala nini

Unajua washili walisema "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu.Angalia maneno unayoongea na uhakika ambao unao.Hivi ukija kuambiwa clip ile ilichezewa utaweka uso wako wapi?Au utarudi kumwabia Lwakatare pole?Leo ni Lwakatare kesho atakuwa ndugu yako wa damu utajisikiaje ?Hakuna dhambi mbaya kama ya kuhisi sababu unachafua hata uhusiano ulionao kwa jamii.Kuwa mzalendo tetea haki.Haya mengine tuwaachie wanasiasa na wasipenda kutenda haki.Jifunze,kuhubiri na kutenda haki.

Nikishika mwizi sidhani kama nitamleta JF au nitampeleka YOUTUBE,bali POLISI,hivyo walioiweka hiyo clip kwenye mtanando wanamengi ya kutueleza na wala si Lwakatare
 
labda utumie internet c@fe kila kitu

yes mkuu hata hiyo si inakuwa ngumu kunikamata, hata nikitumia komoderm changu nilichosajili kwa jina feki na kukivunjilia mbali!
 
Vilaza wetu wa jeshi la polisi na usalama wa taifa wangeomba msaada ktk kuthibitisha authenticity ya ile video clip kutoka FBI au CIA..as a matter of fact ktk tafsiri pana hili jambo linagusa usalama wa taifa kwasababu bila kujali kama ile video ni ya kweli au uongo kama inaonekana kuna magaidi wanaohujumu maslahi ya nchi kwa kuwawinda raia wema wa nchi hii wanaolipenda taifa hili kwa dhati na kulitumikia taifa kwa moyo wa uzalendo..

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Labda utumie internet c@fe kila kitu

yes mkuu hata hiyo si inakuwa ngumu kunikamata, hata nikitumia komoderm changu nilichosajili kwa jina feki na kukivunjilia mbali!

bado inawezekana,
maana kama tuna sample ya watu kumi na katika watu kumi wale wakiangalia simu zenu ni wewe tu uliyefika maeneo hayo ya internet cafe na ni muda huohuo wewe ulituma hiyo msg sasa si tayari wewe niwetu na sasa upo mononi na tunakuchunguza zaidi?

au hata hilo la moderm je ni kweli hujaitumia kwingien kokote kule?
ni ngumu sana kufucha trace zote, naamina hata hao FBI na CIA na MOSADS huwa wanancha trace.
 
Ahahahahaaa Pasco kwa hiyo wewe umeingiza video hii uliyodownload hapa utube (.flv file) kwenye Final Cut Pro ukajiridhisha kuwa ni genuine? Hiyo FCP unatumia peke yako Tanzania nzima? Labda uniambie wewe unayo origina video file na yapasa useme umeipataje!
 
Last edited by a moderator:

kila kitu kimenunuliwa kwa ajili ya kazi hiyo tuu mkuu, si unajua kunapesa zimewekwa kwa ajili ya propaganda, kwahiyo watu wanakuwa very smart mkuu!
 
Kumpata aliye upload wala sio isshu kubwa, ishu ni utayari wa kufanya uchunguzi halisi.

What they can do ni ku-waomba Youtube watoe internet protocol address(ip adress) aliyotumia huyo jamaa ku-apload, kumbuka kuwa kila unapoingia kwenye internet kampuni inayokupa huduma ya internet ndio inakupatia "namba" au "laini" ya kuingia kwenye internet. kwa mfano unapokukwa na simu yako ya kawaida, unakuwa na namba yako ambayo ndiyo inaunganishwa na mitambo ya kurusha simu. So internet ni kama simu, kila ukiingia mtandanoni mhudumu wa internet (internet service provider) anakupatia "laini" (namba) ya kuunganishwa na internet, hata kama unatumia simu kuingia mtandaoni, hiyo simu yako nayo inapewa namba/laini. Hiyo namba inaweza kuonyesha eneo (geographical location) uliyopo (coordinates --longitude/latitude) na mara nyingine hata hadi nyumba uliyopo!. Pia kila mhudumu wa internet analkuwa na "list" ya namba anazowapatia wateja wake, kwa hiyo ni rahisi kujua umetumia internet ya kampuni gani. (Ip adress range). Issue ni kujua nani alikuwa natumia namba hiyo kwa wakati huo.

Pili huwezi kujiunga Youtube kama huna account ya Gmail. kwa hiyo Youtube pia wana email (gmail) account ya alye upload hiyo video, ikiwa ni pamoja na jina lake halisi, siku aliyofungua kaunti na mawasiliano yake yote. ikiwa ni panoja na internet adresses ambazo ametumia tangua afungue hiyo akaunti, hakuna siri hapo. Pia severs za youtube zina weka rekodi ya aina ya chombo (kompyuta au simu) iliyotumia hiyo namba (kwa mfano aina ya komputa, opertaing system, aina na browser (browser fingerprintig) n.k

Tatu kwa hujua uhalisia wa video (kama ni kweli au feki), mambo mengi yanahitaji kuangaliwa. Mojawapo ni metadata uliyoeleza hapa juu. Metadata ya video huonyesha pia ip adress, pili inaonyesha umetumia kamera ya aina gani, ina mega pixel ngapi, kiasi cha mwanga (ISO), video size, tarehe, na author(kama aliyerekodi ame-set owner name), lens model and producer,
Pili kuna kuna vyombo vingi vya kuchanganua uhalisia wa video ikiwa ni pamoja na kuoanisha sauti na maneno, na kufahamu kama video imeunganishwa vipande vipande au ni mtiririko mmoja. kama ni vipande, video editing software iliyotumika itaonekana.

Tatu, unapo upload file, interntet inasoma file path (kwamba hili file tuna upload kutoka wapi--kutoka kwenye flash? desktop ? au local disk?
kwa mfano(nasisistiza MFANO) ..inaweza kuwa C\Users\Desktop\Ludovick\My Videos--- au C\F\Charles Jumanne videos ambapo F ni flash na Charles J ni jina halisi la aliyeupload video
automatically unaona kuwa owner wa komputa au flash ni ludovick au charles, kwa namna iliyoseviwa (save)

Take: just be careful with the internet, and where neccesary seek help.
 
...very true bro....infact katika jambo ambalo jamaa zetu wa usalama walilotakiwa kufanya immediately ni ku track source ya ile video.....kwa kuanzia kwa aliyeiweka kwa you tube.....maana wangemjua angesaidia moja kwa moja kupata source ya ile video.....Huku kuwakamata kina Lwakatare kungekuwa secondary..maana at the end of the day..je wakigundua ni feki...watafanyaje??watafunga mjadala???hii haitakiwi..kwani lazima wa trace source yake na wawaadhibu wahusika.....maana hii haina tofauti na mambo hatarishi tunayopigia kelele kuwa yanahatarisha amani ya nchi....Vyombo vya usalama wanatakiwa wawajue waliotengeneza ile video na kuwaadhibu..hata kama ikigundulika ni feki.....kama walivyofanya kuwajua wahusika wa mtandao wa "Ze utamu"....kwa kushirikiana na vyombo kama..google etc...Ikibidi hata foreign digital sound/voice experts watumike kuwajua wahusika(watengenezaji)...
 
Kumbe tunajifanya tuko Digitali but mawazo yao na matendo yao yako ki-analogia.........kazi kweli kweli
 
I would request our new JF member "TSSL" to approach IGP Mwema, the boss of the Police so that he can use this Metadata Information to satisfy himself that this Lwakatare Video is a forgery. IGP Mwema can be reached at Phone No. +255 754 785557.

IGP Mwema's intervention and withdrawal of this case can save the Government a lot of embarassment and result in saving further suffering of the sickly Lwakatare.
 
hakwenda na simu mkuu si unakuwa umepona!
 
This is nice kiongozi, Wengi tumekuelewa, sasa hilo si lifanyike au nini kinazuia sisi huku mtaani kujua ukweli via hiyo technologia???Sisi tungeendelea kufanya mchakato wa kubaini ukweli huku uswahilini na kuwaacha polisi waendelee kumbwelambwela????Nadhan ingetusaidia sana maana tungekuwa tunaenda Mahakaman kuwasanifu tu na likitu lau la kubumba.
 
Nimekuwa nje ya suala hili. Hivi Lwakatare mwenyewe ameshaikana hiyo video au kuitolea maelezo kiasi cha kusababisha huu mjadala wa kwamba ni ya kughushi au sio kupamba moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…