Ndugu kiongozi, mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara taifa bwana johnson minja, amefutiwa dhamana na kurudishwa rumande kwa madai kwamba anashawishi wafanyabiashara wafunge biashara. Hivyo ukiwa kama kiongozi mpenda haki na mtetezi wa wanyonge, unaombwa kuwasisitizia wadau wote wa sabato kuwa sabato bado itaendelea kama ilivyokuwa leo. Na sabato hiyo itawahusu waumini wakubwa tu. Na siyo wale wadogowadogo. Unaombwa kutoa ushikiano ili kufanikisha wokovu. Saa ya wokovu ni sasa tetea nafsi yako.