Luxury cars 2017





Range Rover Sport Coupe
 
Duh..nilitaka kuuliza huyu fal.a gani....kumbe mi ndo fal.a

[emoji1][emoji1][emoji1] mkuu umenifanya nicheke ni huyu hapa[emoji116][emoji116] ndiye inasemekana siyo kusemekana tu dereva mwenye mwendo kasi kwa sasa katika formular One
 
Mkuu huyo Hamilton na hela za Formular One ni haki yake kumiliki Enzo Ferrari ya maranello.kashinda ubingwa wa dunia 2007,2014,2015. Na ni dereva ambaye ambaye analipwa zaidi.
Hivi yule mwamba ashatoka kwenye coma ? Sijafuatilia haya mambo siku nyingi
 
Gari ni mjeremani tuu. Wengine waongo aisee! I love German cars. If it was my wish sidhani kama ningeweza kununua gari from any other manufacturer.

Das ist auto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…