Kaongea sana kama kameza PM3, kifupi ametetea kura ya wazi. kasema yeye ni jasiri sana na kawalaumu wanaotaka kura ya siri. Kaongea mengi mno hadi kutolea mfano wa ujinga wa mtu anayekunya porini, anaelekeza nyuma yake porini kwenye simba kwa kuwaogopa binadamu wanaopita njiani ambao hawana mdhara kuliko simba alompa mgongo