tata mugaka
Member
- Apr 6, 2012
- 47
- 6
Tujuzeni jamani kasema nini?
Tujuzeni jamani kasema nini?
katoa mfano wa mtu anajisaidia porini,mpaka nimechoka
Kasema hivi:,Unapoenda Porini kujisadia, unaelekeza mgongo kwenye Simba na macho yako wanakopita watu kwa kuwa unawaogopa huku ukisahau kule ulikoelekeza mgongo anaweza kutokea simba! Wazee mlioacha Tanganyika ikafa imekula kwenu. Mliacha Mwalimu kafa eti leo ndio mnaitaka hakuna tanganyika hapa. Kila mtu katumwa na atafanya kwa wazi alivyotumwa. Mwisho anayejiita jasiri kuliko wote Bongo alimsave alipopigwa Tarime wakati huo akiwa katibu wa chama.Tujuzeni jamani kasema nini?
Tujuzeni jamani kasema nini?
Mnyonge mnyongeni, haki yenu mpeni, leo alichosema Kibaj, nimemkubali sana!.
Pasco
Nipo nilikuwa nashinda MMU!. Mzee wetu "kamil gado!" anasubiria tuu kulikaribia daraja!.Mkuu umerudi,maana ulipotea kwa majuma kadhaa? Vipi mzee wetu EL anaendeleaje?