VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mbunge wa Mtera kwa tiketi ya CCM,Livingstone Lusinde aka Kibajaji ameivua nguo Serikali ya CCM. Akihutubia mbele ya Katibu Mkuu Kinana jimboni kwake Mtera,Lusinde amesema wananchi wamechoka kudanganywa. Amesema Serikali imezoea kuwadanganya wananchi juu ya mambo ya maendeleo huku Rais akiagiza michango ya lazima ya maabara.
Lusinde alitangaza na kuwataka wananchi wa Mtera kugomea agizo la Rais Kikwete juu ya michango ya maabara. "Ametamba alivyotaka mbele ya Kinana na Kinana hakumjibu wala kuweka mambo sawa. Amesema kuwa Serikali inadanganya watu. Hakika ameonesha jinsi CCM ilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake" alisema shuhuda toka Mtera.
Katibu mkuu Kinana umebariki haya ya Lusinde?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Tumekusikia wahi kamng'oe meno mlinzi wa Slaa.
Angesema hivi mpinzani angeambiwa ana chuki binafsi na Kikwete. Sasa huyu sijui watakuja na kauli ipi!? Au wataishia kujibaraguza tu kama hawajasikia lolote.
Wewe kama huna mud a wa kumsiliza kaa kimya usishawishi engine wafuate mtazamo wako
Lusinde adhibitiwe
Mzee Tupatupa
Miaka mitano ya Ubunge wake alikuwa akiimba wimbo wa serikali sikivu ya ccm inafanya kazi nzuri, sasa anakumbuka blanketi wakati kumekucha. Siasa za danganya toto kwa kuwa uchaguzi umefika. Yeye aandae kofia za kijani na T-sheti awagawie watu wake wampe kula tena kwa miaka mingine mitano lakini maendeleo hakuna.Mbunge wa Mtera kwa tiketi ya CCM,Livingstone Lusinde aka Kibajaji ameivua nguo Serikali ya CCM. Akihutubia mbele ya Katibu Mkuu Kinana jimboni kwake Mtera,Lusinde amesema wananchi wamechoka kudanganywa. Amesema Serikali imezoea kuwadanganya wananchi juu ya mambo ya maendeleo huku Rais akiagiza michango ya lazima ya maabara.