Mimi si mtabiri hata sikurithishwa mkoba, ila mnamo Julai 16, 2000 kupatwa kwa mwezi ktk Mbuzi 24[SUP]o[/SUP]19[SUP]'[/SUP] kuliniharibia future yangu yote hata sasa ndo naanza kusimama. Nilinyooshewa vidole na kila aliyeniona.
Nilipoteza kazi na elimu yangu ya digrii pia. Sikuweza kusaidika, si kanisani si kwa akina sangoma. Nilijiuliza sana sana hata nikaanza kufuatia kifungu kimoja kimoja cha biblia kadri nilivyovuviwa.
Naikumbuka sana Waamuzi Ya 5:20, Yer 33:20, Zab 19:1-3, Zab 81:1-4, Yoel 3 Mathayo 26 n.k ndipo nilijikita kuangalia kuna nini ktk anga kumbe kuna vitu vingi kama isemavyo Zab 19 (planetary aspects), kwa hiyo niligundua kuwa kumbe past yangu ilikuwa inekunjwa kama karatasi, na nikajifunza jinsi ya kutumia mawe (gems) kuepukana na madhara ya aspects. Kutoka 28:15-30.
Baada ya kuijua siri hii ndipo nikaanza kufanya "remedies" na sasa naanza kusimama dede, kabla nilikuwa nadanganywa tu na wanazuoni oh! funga na utoe sadaka nyingi mara kalete kuku, wapi na wapi , mbingu ilikuwa imepokea hukumu yangu tayari na kuniweka gizani (natural jugdement). Ezekiel 32:7-10 (nyota zako zitiwapo giza na Yahu nani atakuwashia mwanga?) Mat 6:22.
Asanteni
Usitukane watu humu mtizamo finyu ni huu wa kwako wa kukosa Imani katika Mungu na kukimbilia unajimu.Nimesoma maoni ya wana JF inanishangaza sana kuona tulivyo na mitazamo finyu sana.
Kwa taarifa biblia inasisitiza sana kuyajua majira. Ndo maana kila mwaka pasaka inaendana ni jumapili ya kwanza ya mbalamwezi baada ya jua kupita "equinox" kati ya tarehe 20/21 March kila mwaka. Kama hili dogo hulijui na lililo dhahili je utazijua siri za CCM na CHADEMA unazozipigia kelele kila siku?
Kwa taarifa yako pasaka ni maagizo ya watu na si maagizo ya biblia. Biblia maagizo yake ni peshaki kuwa siku ya 14 ya mwezi wa kwanza (New moon) na haifati zig-zag. Pia huhitaji PHD ili kujua kuwa anga ni uumbaji wa siku ya nne na ina amri zake. Au revoir!
sasa mbona ni wengi tu wanapona, wanakombolewa, wanafunguliwa kwa jina laYesu? una maoni gani kuhusu Yesu Kristo? unatumia msahafu gani kwa imani yako?Ktk jina la Yeshua peshaki maana yake ni kuchinja kondoo/mbuzi. Luka 22:7-13, je, kinachochinjwa hapa ni nini? I wapi mikate ya mateso? Mmevamia tu. Kwa imani hii potofu ndo maana sikupata uponyaji hata nilipoijua kweli nayo imeniweka huru kweli kweli. Pia mimi sikutoa mambo haya Membechai bali Hapa hapa Ndani kwangu POSTA.
Mvumbuzi my dear,
Leo nakuomba uvumbue hili pia, tafuta neno EPHOD ujionee mwenyewe. you can even search it from webs. Jisomee 1 Nyakati 12:32 Uijue kazi ya Isakari Clan. Wale Mamajusi unaowasoma kila siku walikuwa wakiishi Babeli ambako Daniel alikuwa. Na elimu ya anga ilikuwa kwao ndo kalenda kabla ya Julius kuleta ushetani wa kalenda jua badala ya kalenda mwezi ambayo imeamriwa katika Biblia.
Imani bila matendo hiyo si imani na matendo ndo haya ya gems.Yeshua (Yesu kwa wakristo) aliifuata peshaki na si pasaka. Peshaki na pasaka,Haya ni maneno mawili tofauti, geukia Israel utaona tofauti ya Uroma (ukristo) na Uyahudi lilipotoka Neno takatifu. Ukiijua tofauti zote mbili itakusaidia kujua kuijua kweli.
Pia soma ile Daniel Ya 9 ujue wenzio walivyojua jinsi ya majira. Ah, ah, ahhhhh. Lucifer kawafunga ktk minyororo ya Uroma na Mapepo. Poleni weeee.
Kama kawaida ya shetwani utawakuta akina Yahya nao wanakudanganyeni mnawakubali tuuu. Vivyo hivyo wanadini toa sadaka, pepo toka lakini haiwaingii akilini mbona hawawezi kuitoa nchi ktk taabu ya rushwa!! Mbona viwete bado ni wengi Tz, nk, wao hao wanamlaani Babu wa Loli!!
Pole.
Ktk jina la Yeshua peshaki maana yake ni kuchinja kondoo/mbuzi. Luka 22:7-13, je, kinachochinjwa hapa ni nini? I wapi mikate ya mateso? Mmevamia tu. Kwa imani hii potofu ndo maana sikupata uponyaji hata nilipoijua kweli nayo imeniweka huru kweli kweli. Pia mimi sikutoa mambo haya Membechai bali Hapa hapa Ndani kwangu POSTA.
Mimi si mtabiri hata sikurithishwa mkoba, ila mnamo julai 16,2000 kupatwa kwa mwezi ktk Mbuzi 24[SUP]o[/SUP]19[SUP]'[/SUP]kuliniharibia future yangu yote hata sasa ndo naanza kusimama. Nilinyooshewa vidole na kila aliyeniona. Nilipoteza kazi na elimu yangu ya digrii pia. Sikuweza kusaidika.
Ktk jina la Yeshua,
Nani alikwambia ukipona ubakie kuwa mtumwa wa aliyekuombea? Mbona kwa babu wanakunywa dawa tu na kuondoka kurudi makanisani mwao. Wamebaki kulalama hoo hatumii jina la Yesu, kama kapewa siri afanye makosa? Ok, hata ktk Tanaki kuna wachawi wengi tu walioponyesha watu hata Yahya pia. Soma juu ya Mtume Petro na mama mchawi. Je, walioponywa na Yeshua wote walimfuata kila alipokwenda? Mmefanywa watumwa wakati anga ni la wote.
Maoni yangu kuhusu Yesu Kristo, nakutuma nenda kajitafutie hisoria ya jina hilo mpaka ujue kuwa hilo ni modified name of ZEU. Ukizingatia kuwa Neno halitoki Roma bali Israel. Msahafu ninaoutumia umeandikwa BIBLIA takatifu (king james version). Ni nakili ya Tanaka Iliyochapishwa mwaka 1611 kwa mara ya kwanza, nayo ilinakili Biblia origino iliyopitishwa na Athanasius wa Alexandria mwaka 382CE ambaye alikuwa askofu wa Alexandria Misri na ndiye aliweka maneno haya ya mwisho ktk Tanaka "kama mtu yeyote akipunguza...Uf 22:19".
Ukiijua kweli itakuweka huru kweli kweli. Upooo? Huitaji PHD neno liko hapo ulipo.
Rweye mimi sisemi kwa jina la Yesu (Ukristo) bali kwa jina la YESHUA Uyahudi. Pili narudia Pasaka ni maagizo ya watu, Tazama Imani ya Nikea (Azimio la Nikkea) ujitafutie uone Constantine the Great alifanya nini. Mvumbuzi, li wapi Neno ktk Biblia lisemalo siku ya ijumaa ya pasaka tusile nyama? Au tuwe na siku 40 za kwarezima kabla ya pasaka?
Pamoja na peshaki kuwa modified 3 times ktk Tanaki (Biblia) toka wakati wa Moshee, Ezekiel na Yeshua BADO siku ni ile ile ya 14 jioni. Peshaki inaliwa ndani ya nyumba zenu...tumle wapi peshaki? Yeshua anawaambia nendeni kwa fulani tutakula humo na hakusema nendeni hekaluni/kanisani. Hakuna maagizo ya peshaki kuliwa mchana bali jioni (Usiku). Kwa hilo dogo tu, nani anamtumikia shetani kwa maagizo ya wanadamu mimi au....?
Mh! haiitaji PHD kusoma na kuelewa practise ya Tanaka, ninyi na viongozi wenu mu- vipofu? Isaya 3:12. Amosi analia kwani mnaangamia kwa kukosa maarifa. Pole wee.