MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 9,340 Reaction score 25,555 Jul 16, 2025 #21 Mpap Ndabhit said: Mimi siyo mhalifu mkuu ni mkulima wa kawaida tu sasa kituo cha polisi tena!,π Click to expand... Nilitaka uje tupige story mshikaji sio mengine mbona min -me na Mwachiluwi ni marafiki zangu hata hatuzuliani kaka
Mpap Ndabhit said: Mimi siyo mhalifu mkuu ni mkulima wa kawaida tu sasa kituo cha polisi tena!,π Click to expand... Nilitaka uje tupige story mshikaji sio mengine mbona min -me na Mwachiluwi ni marafiki zangu hata hatuzuliani kaka
M Mpap Ndabhit JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 380 Reaction score 534 Jul 16, 2025 Thread starter #22 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Nilitaka uje tupige story mshikaji sio mengine mbona min -me na Mwachiluwi ni marafiki zangu hata hatuzuliani kaka Click to expand... Brother wangu alikuwaga polisi pale central (R.I.P) hakunisaidia nilipokamatwa sina leseni ya udereva! Wakaning'angania wee bila msaada wowote! Sikuona maana tena ya kuwa na ndugu kutoka hayo maeneo.
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Nilitaka uje tupige story mshikaji sio mengine mbona min -me na Mwachiluwi ni marafiki zangu hata hatuzuliani kaka Click to expand... Brother wangu alikuwaga polisi pale central (R.I.P) hakunisaidia nilipokamatwa sina leseni ya udereva! Wakaning'angania wee bila msaada wowote! Sikuona maana tena ya kuwa na ndugu kutoka hayo maeneo.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,950 Reaction score 67,489 Jul 16, 2025 #23 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Nilitaka uje tupige story mshikaji sio mengine mbona min -me na Mwachiluwi ni marafiki zangu hata hatuzuliani kaka Click to expand... Mshawishi afike
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Nilitaka uje tupige story mshikaji sio mengine mbona min -me na Mwachiluwi ni marafiki zangu hata hatuzuliani kaka Click to expand... Mshawishi afike