Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 380
- 534
Sikuzote wanakuwa hivyo....wengi hawauzii biashara endelevu,huuzia njaa tu....wakulima wanazidi kuwa masikini
Lumbesa ni nini kaka ?Poleni wana mbeya
Hata sijui mkuu 😅😅😅Lumbesa ni nini kaka ?
Basi pole yao sana wana mbeya wenzangu aisee ,hii lumbesa sio kabisaHata sijui mkuu 😅😅😅
Gunia likijaa full,kile kinyongeza Cha juu kinachoongezewa mfuko na kushonewashonewaLumbesa ni nini kaka ?
Nawapo pole mno lumbesa sio mchezo bwashee , karibu bia master.Basi pole yao sana wana mbeya wenzangu aisee ,hii lumbesa sio kabisa
Nipo na ulanzi kaka ,nije pande zipi ambako bia si hadimu kwasasaNawapo pole mno lumbesa sio mchezo bwashee , karibu bia master.
Ahsante ,vipi uko mbeya sehemu gani mkuu ?Gunia likijaa full,kile kinyongeza Cha juu kinachoongezewa mfuko na kushonewashonewa
Hahahaha ngoja weekend moja mimi na nyie crew yangu tutapiga bia pamoja , humu wataambulia picha tu bwashee 🤣Nipo na ulanzi kaka ,nije pande zipi ambako bia si hadimu kwasasa
Nitafurahi sana mkuu 🙏Hahahaha ngoja weekend moja mimi na nyie crew yangu tutapiga bia pamoja , humu wataambulia picha tu bwashee 🤣
Sugu yupo mtumieni vyemaSasa hivi Mbeya ni kama serikali iko likizo kwa jinsi wafanyabiashara wanavyopora wakulima mchana kweupe.
Ukiangalia Lumbesa ya gunia la viazi huwezi kubisha kwamba mkulima hapati chochote. Yaani heka moja ungeweza kupata gunia za viazi 70 kwa sababu ya Lumbesa utaambulia gunia 52!
Viongozi wa chama na serikali wapo, vizuizi vya ukaguzi mazao ya shambani vipo sijui wanafanya kazi gani?
Mnao husika amkeni saidieni wakulima wa viazi wafanyabiashara wanatajirika wakulima wanazidi kuwa masikini!
Hivi ni mbeya tu Kuna wakulima mkuu? Lumbesa ni kwa wakulima wote sema zinatofautianaAhsante ,vipi uko mbeya sehemu gani mkuu ?
Njoo hapa kituo kidogo cha polisi mbalizi ulizia kitumbo nataka tuwe washikaji mwana maana washikaji wengi wa JF wapo Dar sio mbeya
Mkuu Lumbesa ya Mbeya ni hatari. Yaani na robo ya gunia! Lakini inawezekana wenzetu wameridhika kwa sisi Mbeya hatutaki.Hivi ni mbeya tu Kuna wakulima mkuu? Lumbesa ni kwa wakulima wote sema zinatofautiana
Mimi siyo mhalifu mkuu ni mkulima wa kawaida tu sasa kituo cha polisi tena!,😃Ahsante ,vipi uko mbeya sehemu gani mkuu ?
Njoo hapa kituo kidogo cha polisi mbalizi ulizia kitumbo nataka tuwe washikaji mwana maana washikaji wengi wa JF wapo Dar sio mbeya