LULU kwa sauti kama ya emphraim kibonde kwenye tangazo la airtel "AMEKWISHA ANZA"

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Hii ni comment iliyotumwa na mchangiaji wa blog ya sinta alivyoweka post kuhusu lulu








Sintah for sure mwambie huyu mtoto akae mbali na BONITA atamuharibia dakika moja. Jana nilipita pale nje maeneo ya deMage hotel kwenye duka uchwara la BONITA, nkaona gr la Lulu na kuna gr lingine la mvulana fulani mtoto wa daaud kanyau aitwae POnchi. Nimejua tu nn kinaendelea mule ndan,.baada ya dk kadhaa Lulu alitkoka ndn ya duk Nawakaingia kwny gari la ponchi wakaongea humo then ponchi akaondoka. Plz, plz plz plz naomba awe makini ikibd akae mbali sana n BONITA. BONITA ni kuwadi mkubwa sana. Ilimradi yy apate pesa hajali mtoto wala mkubwa. Ntafatulia hii inshu nikupe zaid yalio jiri. I love lulu kipindi hiki awe makini


lulu+1.jpg



lulu+2.jpg




wengine wakaanza kumkanya kwa comment kama hii



LULU MAMITO, DONT MOVE FASTER.U'V TO SIT DOWN FIRST AND ASK UR SELF B4 DOING ANYTHING. PRAY TO GOD TO HELP U IN EVRY MVMNT. WHATEVER UR DOING IS LIKE A DRAMA TO OTHERS AND THEY R MAKING BUSINESS BHIND U...KUNA GAZET LEO LIMEANDIKA "UMERUDI TENA MZIGONI" FANYA MAMBO YAKO KWA SIRI KM ULIVOKUA UKITOKA NA LATE KANUMBA...UCWAPE NAFAC WATU KUJUA UNAFANYA NINI...JICHO LA HUSUDA SI ZURIII....BETTER STAY AWAY FROM FB,TWIT,INSTGR,BM...NA VITU VINAVYOFANANA NA IVO.
I REALLY LIKED UR RE'SHIP WITH LATE NO MATTER WHAT..UR BEAUTIFUL WOMAN AND U DESERVE TO HAVE GUD RE'SHIP LIKE THAT U HAD. TAFUTA MTU ALIETULIA NA ASIYE NA MAKUU NA ASIYE MROPOKAJI..COZ OTHER GUYS THEY DONT KNOW HOW TO ZIP MIDOMO..AKITOKA NA STAR TU ANATAKA DUNIA NZIMA IJUE...'MAPENZI NI BAINA YA WATU WAWILI"
Nakupenda bure bure........MAMA T


 
Sikio la kufa hilo. Kilichobaki ni zamu yake sasa; tutajamwokota vipande vipande - mguu Coco Beach, sikio Maisha, sijui nanilii kwingine....... Ndo kinachomsubiri huyu. Nipo mimi, mtajaniambia
 
Sikio la kufa hilo. Kilichobaki ni zamu yake sasa; tutajamwokota vipande vipande - mguu Coco Beach, sikio Maisha, sijui nanilii kwingine....... Ndo kinachomsubiri huyu. Nipo mimi, mtajaniambia

mtoto akililia wembe!
 
Hiki kitoto nacho hata hakijajua kesi itakuaje kanajiachia tu ah! Mzaz wake ana kazi ya ziada
 
Sikio la kufa hilo. Kilichobaki ni zamu yake sasa; tutajamwokota vipande vipande - mguu Coco Beach, sikio Maisha, sijui nanilii kwingine....... Ndo kinachomsubiri huyu. Nipo mimi, mtajaniambia.
wewe nyekt unamwombea mwenzako kifo unadhani akifa siku zake za kuishi utaongezewa wewe?angekuw mtoto wako ungesema hayo unayoyasema?hata kama ni mwovu sio kias cha kuombeana mabay namna hyo.we umekamilika?by the way people see www.finalresorttz.blogspot.com
 
nimependa stail ya nywele. Ila Lulu Mhh. ila majuto ni mjukuu. leka tulebe.
 
do wat u want gr coz it is yal life no one is feedin u or takin care of u bt u hav 2 knw dat tha the world is people so u hav 2listen wat they a tryin to say
 
Kanatakiwa kawe kana kwenda kwenye nyumba za ibada kupata mafundisho jinsi ya kuishi kwa maadili kwenye jamii. Tatizo hakajatulia, kenyewe kanaona kujiachia kihovyo hovyo ndo umaarufu!
 
Back
Top Bottom