Aboud Jumbe Mwinyi; 1984 Alidiriki kudai muungano wa serikali 3; wenye chama wakasema "amechafua hali ya hewa" akavuliwa madaraka na kupelekwa mji mwema na kusahauliwa; leo rasimu ya katiba 2013 imerudi kule kule na kupendekeza Muungano wa serikali 3; the man has been vindicated; But how can this man be compesated for the hurt, the pain, the embarrassment; the loss of face; etc etc,,,....!?