Warumi we huwa unakutana na mastaa mara nyingi,bila ushabiki kweli unaona Lulu ni changudoa,tena muuaji? Jamani hata kumpa au kumtakia kila la heri kidogo?
Mi naishangaa hii jamii yetu kiukweli,tulifiwa sote na marehemu SK,na hata yeye pia alifikwa na msiba huo,lakini sijui ni kwa nini jamii tena hasa ya kina dada wenzake imemchukia,na hata wengine kufikia hatua ya kumtamani kumla nyama kabisa,yaani wana hasira naye...
kinachowaboa wengi mi nadhani ni pozi lake,so wanamdhania kama mtu mwenye maringo sana,na majivuno... otherwise Lulu wa sasa hana vituko vya kumlinganisha na wadada wengi maarufu kwa kweli..