Lula Wa Ndali Please Once Again Labda Watakuelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lula Wa Ndali Please Once Again Labda Watakuelewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMBOTA, May 16, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nakuomba ndugu Lula Wa Ndali rudia tena yale maoni yako kuhusu muungano na vituko vya wazanzibar nakumbuka uliweka wazi kabisa tena kwa hoja kuwa tusifike sehemu ya kuchomeana vibanda vyetu imefika wakati tuvunje muungano wetu kwa amani tu, sasa naona uuliowaambia wako kimya labda hawajasikia je unaonajje ukirudia tena labda watasikia au?


  Ni Mtazamo Tu Masela Msijenge Chuki( Afande Sele Mfalme wa Rhymes 2004)
   
 2. A

  Albimany JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Iko makala yake mzalendo.net na alijibiwa ingia huko utaiona na majibu yake.
   
Loading...