anaongea siasa, katika uchumi wa nchi hii...sielemwi wananchi tupo wapi mpaka leo, atujitambui kabisa....tumebaki kushabikia tu.... Aya mambo yanauma sana. Tafakari chukua hatua.
dah huyu anaeitwa william lukuvi kweli hamnazo kazi yake bungeni ni kuhakikisha CCM haisemwi vibaya na mabaya ya ccm hayasemwi shame on you lukuvi.Kazi anayofanya pale bungen ni sawa kabisa na kazi anayoifanya kinana na mwenzake nape huku nje SHAME ON YOU ONCE AGAIN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.