wiki iliyopita nilikuwa pale iringa mjini wakati natafuta gari niludi kijijini kwangu luganga nkaona ni vema ninunue umeme kabisa ajabu ni kwamba nilipofika kwa muuza umeme alinitoza tsh 200(nilihitaji umeme wa elf 5)nlipomuuliza imekuaje iwe hivo alisema commision wamepunguziwa sana hivyo ilibidi nitoe tsh 5200!
kwenye simu napo nilipokimbilia kila kukicha mtandao shida,huko mbeleni nyinyi wa mjini mtaludia maisha ya zamani ya kufata umeme kwenye petrol stations ila sisi tunao tumia umeme wa REA huku vijijini tutateseka sn yan itabidi tuwe tunatuma hela kwa walio mjini watununulie then watutumie tokens.