Pole sana. Ila mimi nilinunua saa 10:00 alasiri jana na haikunisumbua ndani ya dakika moja nikawa nimepata token. Jaribu kupiga customer care ya Vodacom M-Pesa waombe namba ya customer Care Tanesco kitengo cha LUKU. Nilikuwa nayo hiyo namba bahati mbaya sana simu ilisumbua nika reset simu ikafuta kila kitu. Pole sana
nenda kabadilishiwe tarrif ya mita yako inaonekana una nunua umeme mara kwa mara nenda kwa wanaouza umeme kwa kompyuta watakupa namba za kuziingiza alafu ndo utaingiza energy token zako.....la sivyo hutafanikiwa kununua umeme
Naomba kuelekwzwa jinsi ya kusoma unit zilizobaki kwenye hizi mita mpya kwasababu yaani namba zinatokea kwa kubadilikabadilika yaani zinacheza huwa hazikai hiyohiyo inaweza kusoma Mara 19, mara 27 0.38 kwahiyo hata sielewi

Nimenunua umeme kwa MPESA na hakuna tatizo. Angalia mtandao wako. Ila naona tusiwe wepesi kukimblia kupeleka lawama TANESCO hata hii mitandao yetu ya simu nayo ni vimeo, majipuuuuu. Network zero.