Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,475
Yule kocha aliyeweka misingi imara ya timu ya taifa ya spain hadi kufika hapa luis Aragones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Chanzo cha kifo ni nini mkuu?
Itakuwa ni umri!!!!Chanzo cha kifo ni nini mkuu?
Chanzo cha kifo ni nini mkuu?