Kati ya sentesi hizi mbili ipi ni sahihi ukimaanisha kuwa hakuna mtu mwengine zaidi yako?
1.nipo mwenyewe.
2.nipo peke yangu
Bytheway,napenda kuzungumza kiengereza kwa ajili ya practice ingawa sijui sana ; aliyetayari kufanya mazoezi na mimi no yangu ni 0684066626(abdallah hassani)
Sent using
Jamii Forums mobile app