Lugha za watu kazi

Arabii

Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
30
Reaction score
8
Jamaa alitaka kuonesha anajua kidhungu "yestaday I saw u at ze maize shop..(Jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six (uliponiona ulianza kusitasita) u ran away n decide 2 plant a car (ulikimbia na ukaamua kupanda gari) zen u port_cry me through da window(kisha ukanichungulia dirishani) now sleep down n snake well b4r I cut u a millet(sasa lala chini na nyooka vizuri kabla sijakukata mtama) umempata!
 
Jifunze kuandika vizuri na sio kuandika kitoto
 
Jamaa alitaka kuonesha anajua kidhungu "yestaday I saw u at ze maize shop..(Jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six (uliponiona ulianza kusitasita) u ran away n decide 2 plant a car (ulikimbia na ukaamua kupanda gari) zen u port_cry me through da window(kisha ukanichungulia dirishani) now sleep down n snake well b4r I cut u a millet(sasa lala chini na nyooka vizuri kabla sijakukata mtama) umempata!

HAPO KWENYE RED UMEDANGANYA
 
Kwa hiyo ume maanisha port ndiyo chungu??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…