Lugha ya picha. Je, kuna ukweli wowote?

Lugha ya picha. Je, kuna ukweli wowote?

Ukweli mtupu, yaani wapiga kura wa kiafrika ni sawa na waumini wa haya makanisa ya wokovu/kisanii ambapo unaona mchungaji ni tajiri kinoma ila waumini hawana hata hela ya kupanda daladala kurudi makwao.
Lakini dini ni imani mkuu. Kunawimbo tunaongozagwa wakati wa matoleo unasema.......toa ndugu toa ulichonacho.......
 
Ni ukweli ..kuna mwanasiasa gani yuko kwa ajili ya wananchi?
So far had sasa namuona Lissu peke yake ndie amechukua maumiv ya watanzania wenye maumivu moyoni
 
Ni ukweli ..kuna mwanasiasa gani yuko kwa ajili ya wananchi?
So far had sasa namuona Lissu peke yake ndie amechukua maumiv ya watanzania wenye maumivu moyoni
Mbona wapo mkuu na wengine mf J. Maghembe, Shabiby, au J. Mhagama
 
Ndo maana niliamua kuwa sitakuwa mpiga kura tena katika chaguzi za kisiasa, nitapiga kura tu kuchagua viongozi kikanisa kama mwenyekiti wa kwaya au mwenyekiti wa vijana na kadhalika.
Mkuu wewe ndo unakwamisha maendeleo yetu
 
Maslahi ya wanasiasa bongo ni 10times ya maslahi ya graduate wa kawaida, sasa hapo ujacompare na walimu wa cheti au dip, wananchi maskini/wanyonge hawa inaekuwa ha 1000times
 
Mkuu wewe ndo unakwamisha maendeleo yetu
Sikia boss, ninyi wapiga kura ni maendeleo gani mshaleta tangu muanze kupiga kura? Unachagua mtu ambae wala hatachangia kuongezeka kwa mkate wako?
 
Tazama tu Mbowe anatembelea vx la Serikali Na kula ruzuku ya Sacco's wakati makamanda njaa Kali pale Ufipa
Duh VP ndugai nae na wapiga kura wake? VP Unaweza nipa ufafanuzi wa hali ya maisha kati watu wa Knjaro na Kongwa au Geita mkuu?
 
Ndo ukweli huo ila voters ndo hatukomi pamoja na msoto tunaokula baada ya miaka kadhaa tunawachagua tena ha ha haa
 
Back
Top Bottom