Lugha ya picha. Je, kuna ukweli wowote?

Kiukweli maisha hayako sawa tutatofautiana tuu hadi siku ya mwisho
 
ni kweli kwa marais wote, rais wa TFF, Chama cha masumbwi, rais wa chama cha upinzani ( kama mbowe) n.k
 
Huyo Mwenye hiyo Gari ya juu huwa anasema CCM Oyeeeeee!
Then huyo aliyelala chini ndo huwa anaitikia kwa nguvu Oyeeeee!????
Hahahaha mkuu umeuwa....vipi mwenye gari akisema kidumu chama cha mapinduzi, unadhani aliyelala atajibu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…