Lugha ya mapenzi

Tarime hizo lugha hakuna na mambo yanaenda. Mwambie mambo ya watu wengine wee huwezi kuyaiga
 
lugha ya mapenz ni kuzungumza na hisia za mwenza wako kwa vitendo....

hapa unafanya ubunifu wa kumshow love kwa vtendo nje ya faragha, mfano unaweza mtumia txt nzur or suprise or kumtamkia maneno mazuri ukiongea nae
Shukran mkuu umenitoa tongo tongo
 
usipochange akija mjanja anaembebisha vzuri ujue itabaki story, kuwa romantic kwa mpenz wako ila iwe kwa kias ukizdsha utaelemewa, mengine washasema wakuu wengine.
 
Kuna kitabu kinaitwa 5 love languages kuna
Affirmation words
Quality time
Gift
Nk nyngne 2
Tafuta usome utapata kitu pia ujue lugha ya demu wako hapo utamfurahisha mno
 
Kuna kitabu kinaitwa 5 love languages kuna
Affirmation words
Quality time
Gift
Nk nyngne 2
Tafuta usome utapata kitu pia ujue lugha ya demu wako hapo utamfurahisha mno
Mfano : unamuomba appointment kukaa sehemu kuzungumza wawili anaipiga chini kwa sababu light, unampa gift ila ile expression haioneshi kama kaifurahia ....n.k

Mkuu hakuna mbinu ya kujua lugha ya mapenzi ya mwenzio? Je ni busara kumuuliza direct?
 
usipochange akija mjanja anaembebisha vzuri ujue itabaki story, kuwa romantic kwa mpenz wako ila iwe kwa kias ukizdsha utaelemewa, mengine washasema wakuu wengine.
Shukran mkuu! Najuaje lugha yake ni ipi?
 
Kama ni kanda maalum.
Piga makofi, piga rungu la bega
Usipofanya hivyo huna Mapenzi
 
Mfano : unamuomba appointment kukaa sehemu kuzungumza wawili anaipiga chini kwa sababu light, unampa gift ila ile expression haioneshi kama kaifurahia ....n.k

Mkuu hakuna mbinu ya kujua lugha ya mapenzi ya mwenzio? Je ni busara kumuuliza direct?
Mmmhh mbona kwa maelezo yak9 n kama hana furaha na ww, kuna sehemu unakosea kuwa makini hapo isije kuwa yy hayupo tena kimawazo na hisia, yamebakia mazoea tu
 
Unampa pesa lakini? Tusiwe tunatwanga maji hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…