Chapa Isimame
Member
- Aug 15, 2018
- 78
- 86
Huyu hasomei hotel management mkuu nitakupatia wa sampuli iyo mkuuNitumie namba yake niwe nakufanyia hiyo kazi ya kuongea nae lugha ya mapenzi kama anavyotaka yeye wewe utakuwa unananilipa Asante tu mkuu
ShukranTafuta romantic movie uku ndo kuna hizo Lugha za kimapenzi.
Umekuwa honestNingekuhsauri ila kwenye segment ya mapenzi niko mtupu..
Last paragraph ina ujumbe mzito mkuuSubiri waje mkuu...ila unaeza ongezea na hizi
Majina mazuri mazuri.
Vizawadi vidogovidogo vya kushtukiza.
Tumia muda mwingi na yeye.
Onesha kutaka kujua zaidi kuhusu yeye.
Mpe attention ukiwa naye.
Text au call za kutosha asubuhi,mchana na jioni.
Mtoe out pale inapowezekana.
Sio kila siku sex kwenye kitanda uwe mbunifu pia.
Usiwe mtu unayetabirika.
NB:fanya kazi tafuta hela kwanza kwa sababu mambo mengi kwenye mahusiano yahahitaji pesa na muda.
Hakuna binadamu anayeridhika hata umfanyie kitu gani.
Kitu gani umeandika hapo braza?Text au call za kutosha asubuhi,mchana na jioni.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu hasomei hotel management mkuu nitakupatia wa sampuli iyo mkuu