Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,008
- 1,115
WeaknessesLete terminology ya kihasibu inayomaanisha udhaifu
Kama kichwa kinavyojieleza, kwa mujibu wa CAG, neno udhaifu ni lugha ya kihasibu, je bunge lilifanya uchunguzi kubaini kwamba ni kweli hilo neno linatumika ipasavyo?
Ukweli upo wazi kwamba kila taaluma I nakuwa na maneno yake japo yanafanana lakini maana zipo tofauti.
Ni kama hata lugha za makabila yetu, kuna maneno kwa kabila A likawa ni salamu lakini kabila B likawa ni tusi japo neno ni hilo hilo.
Hivyo ni vigumu mwenye lugha yake anayoitumia kuwasiliana umlazimishe aombe radhi kwamba ametukana wakati yeye kwake sio tusi.
Hata madaktari, wanasheria, vyombo vya usalama, nk Wana lugha zao wanazowasilisha mambo yao.
"Busara itawale "
Sent using Jamii Forums mobile app
KAMATI YA BUNGE ILIKOSEA MNO KWA MAANA YANGU;Kama kichwa kinavyojieleza, kwa mujibu wa CAG, neno udhaifu ni lugha ya kihasibu, je bunge lilifanya uchunguzi kubaini kwamba ni kweli hilo neno linatumika ipasavyo?
Ukweli upo wazi kwamba kila taaluma I nakuwa na maneno yake japo yanafanana lakini maana zipo tofauti.
Ni kama hata lugha za makabila yetu, kuna maneno kwa kabila A likawa ni salamu lakini kabila B likawa ni tusi japo neno ni hilo hilo.
Hivyo ni vigumu mwenye lugha yake anayoitumia kuwasiliana umlazimishe aombe radhi kwamba ametukana wakati yeye kwake sio tusi.
Hata madaktari, wanasheria, vyombo vya usalama, nk Wana lugha zao wanazowasilisha mambo yao.
"Busara itawale "
Sent using Jamii Forums mobile app
Incomplete records/ Financial misstatementLete terminology ya kihasibu inayomaanisha udhaifu
Lete terminology ya kihasibu inayomaanisha udhaifu