Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,456
- 40,447
Lugha ngumu ndio ipi sasa, mbona nawe muelimishaji unatuonea aibu
Kama vile njoo nikutoto...Lugha ngumu ndio ipi sasa, mbona nawe muelimishaji unatuonea aibu
Kama zile lugha zakoLugha ngumu ndio ipi sasa, mbona nawe muelimishaji unatuonea aibu
Nina hamu ya kutooooooo tooooo....Kama zile lugha zako
ha ha ha ndo zenyeweNina hamu ya kutooooooo tooooo....
We mwenyewe una aibu halafu unataka sie tuwe na lugha ngumu, unataka twende jehanam sio?!!
Hebu toa mfano wa lugha ngumuKutumia lugha ngumu za mapenzi kwa wapendanao kunadumisha, kuimarisha na kusisimua katika mapenzi. Ukitumia lugha laini laini ya kuoneana aibu, mpenzi wako atakuona zoba; atakwenda kwa wahuni na watampa anachokitaka. Jitaidi kutumia lugha ngumu, katika kutaka penzi au katika mazingira ya kusisimuana.
Kwa mwanaume; zinampa ujasiri na kuaminika kwa mpenzi wake na kuonekana rijali.
Kwa mwanamke; zinampandisha mpenzi wake hamu na kutokuchokwa/kuachika kirahisi, na hatimaye ndoa
Nadhani wengi mnazijua hizi lugha ngumu; zitumieni kwa manufaa yenu
Ila we mwanamke ππππππππLugha ngumu ndio ipi sasa, mbona nawe muelimishaji unatuonea aibu