Lugha ngumu katika mapenzi hudumisha uhusiano

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,808
39,013
Kutumia lugha ngumu za mapenzi kwa wapendanao kunadumisha, kuimarisha na kusisimua katika mapenzi. Ukitumia lugha laini laini ya kuoneana aibu, mpenzi wako atakuona zoba; atakwenda kwa wahuni na watampa anachokitaka. Jitaidi kutumia lugha ngumu, katika kutaka penzi au katika mazingira ya kusisimuana.

Kwa mwanaume; zinampa ujasiri na kuaminika kwa mpenzi wake na kuonekana rijali. Kwa mwanamke; zinampandisha mpenzi wake hamu na kutokuchokwa/kuachika kirahisi, na hatimaye ndoa.

Nadhani wengi mnazijua hizi lugha ngumu; zitumieni kwa manufaa yenu.
 
Kutumia lugha ngumu za mapenzi kwa wapendanao kunadumisha, kuimarisha na kusisimua katika mapenzi. Ukitumia lugha laini laini ya kuoneana aibu, mpenzi wako atakuona zoba; atakwenda kwa wahuni na watampa anachokitaka. Jitaidi kutumia lugha ngumu, katika kutaka penzi au katika mazingira ya kusisimuana.
Kwa mwanaume; zinampa ujasiri na kuaminika kwa mpenzi wake na kuonekana rijali.
Kwa mwanamke; zinampandisha mpenzi wake hamu na kutokuchokwa/kuachika kirahisi, na hatimaye ndoa
Nadhani wengi mnazijua hizi lugha ngumu; zitumieni kwa manufaa yenu
Hebu toa mfano wa lugha ngumu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom