Kwa wanaotembelea JF hususani jukwaa la biashara watakua wanamjua huyu jamaa...sasa hivi naona kitambo kapotea ..jamaa anamichongo kibao kwa wanaotaka kufanya biashara kimataifa hususan Dubai...namuomba popote alipo ajitokeze na ikiwezekana awe hata kwa week mara moja awe anatoa semina za international business...nawasilisha